Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
7. Katukana nchi huko ughaibuni1.Kapigwa risasi 16
2.Hakuna uchunguzi
3.Kazuiwa kuombewa
4.Aliyevaa T-shirt za kumuombea alikamatwa.
5.Kanyimwa haki yake ya Kibunge ya kutibiwa kwa gharama za Bunge.
6.Kavuliwa ubunge na Spika akiwa kwenye matibabu.
Hayo yote yamefanywa chini ya mtu ambaye mnataka aitwe Malaika? Muuaji atakuwa nani sasa kama siyo muuaji?
Nchi itatukanwa je?7. Katukana nchi huko ughaibuni
Afazali bana umeamua kuwaanika🤣Ningekuona wa maana sana kama hayo maneno yako ungeyatamka kipindi akina Ben saanane, Azory na Ulimboka wanapofanyiwa hayo maovu
Lissu alivyopigwa risasi huo utu unaojaribu kuuongelea hapa uliuonesha sehemu yeyote ile, au ulifyata mkia.
Hivi kwa nini CCM mnakua wajinga namna hii. Hivi ni sheria kwani kwamba ukiwa CCM lazima uwe mjinga au?
Angalia watu kama Bia yetu stroke @YEHODOVA magu2016 digba sowey hao wote ukisoma maandiko yao unaona kabisaa kwamba hawana akili,angalau kidogo johnthebaptist na Pascal Mayalla
Kwa namna unavyomdhalisha Rais wetu sidhani kama anaweza kukukabidhi nchi.kumbuka kampeni ni kama interview wakati wa interview lazima uwe mnyenyekevu.Mimi kama mimi ningekuwa Rais ukanidhalilisha kwa namna hii hata kwa mtutu siwezi kukupa nchi.
Wewe unasema eti Rais ni Muuaji!! Hivi kweli mwanasheria nguli kama wewe unaweza kusema kuwa Rais ni Muuaji wakati huna clear evidence?? Lugha yako hii na mahubiri yako haya yanaligawa ttaifa.NEC mnatakiwa kumfungia milele huyu.hafanyi kapeni kwa ajiri ya kutafuta kura bali kwa sasa anafanya vita ya maneno na naweza kuiita cold war.
Jamani tukumbuke kuwa sisi ni binadamu ,tunapita .kesho upo kesho kutwa haipo.leo utakuwa Rais kesho utakuwa raia wa kawaida.Tukumbuke watoto wetu na wajukuu wetu.yunataka kutengeneza taifa mithiri ya Somalia,burundi,Rwanda, Libya, Syria, Iraq etc.
Hata kimasaiKisukuma ni lugha ya taifa