Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo nyinyi ni wafuata upepo au?
Huyo jamaa ni mjinga kabisa yy kamwona TL pekee anayegutubia kilugha wengine hawaoni, huyo jamaa anafuatilia kweli kampeni za uchaguzi au Yuko busy tu humu JF.Kwahiyo hizo sheria za NEC zinamhusu Tundu tu?
Acheni kujitoa ufahamu , hujamsikia baba jeje, kahutubia mara ngapi kilugha kanda zile kwenye kampeni zake na hao NEC wapo kimya?
Lissu anajua kuchokoza, anafaata kama huyo baba J. Then mmuguse sasa !
Kwa taarifa yako ni kwamba NEC hawacheki ila hawajui waanzie wapi maana kama ni upuuzi kauanzisha aliyewapa mamulaka na hawaja kemea , baba jeje na Lissu kwenye kampeni wapo sawa kama wote wagombea.
Hivi nani kawaroga nyie ?
Mkuu, nilikutupia video yenye maelezo ya kutosha kuhusu mipango ya Chadema walofanya pre-shambulio la Lissu...Jiwe si alimuita Tundu Lissu msaliti?
..na akasema wasaliti hawastahili kuishi, wanastahili kuuwawa.
..sasa kwanini Jiwe ajisikie vibaya, au aone aibu, akiambiwa kwamba yeye ndiye aliyeamuru Tundu Lissu auwawe?
.. jiulize ni nani aliyeagiza walinzi wa area D waondolewe ili kupisha magaidi waliotumwa kumuua Tundu Lissu?
cc Richard, tindo
Uzuri ni kwamba anayeshutumiwa mauaji ni raisi tena yupo na anasikia, mahakama zipo tena mzigo wake umejichimbia zaidi huko mbona haendi mahakamani,hakanushi, hajibu yuko kimya wewe unapata wapi kiherehere cha kumtetetea?Kwa namna unavyomdhalisha Rais wetu sidhani kama anaweza kukukabidhi nchi.kumbuka kampeni ni kama interview wakati wa interview lazima uwe mnyenyekevu.Mimi kama mimi ningekuwa Rais ukanidhalilisha kwa namna hii hata kwa mtutu siwezi kukupa nchi.
Wewe unasema eti Rais ni Muuaji!! Hivi kweli mwanasheria nguli kama wewe unaweza kusema kuwa Rais ni Muuaji wakati huna clear evidence?? Lugha yako hii na mahubiri yako haya yanaligawa ttaifa.NEC mnatakiwa kumfungia milele huyu.hafanyi kapeni kwa ajiri ya kutafuta kura bali kwa sasa anafanya vita ya maneno na naweza kuiita cold war.
Jamani tukumbuke kuwa sisi ni binadamu ,tunapita .kesho upo kesho kutwa haipo.leo utakuwa Rais kesho utakuwa raia wa kawaida.Tukumbuke watoto wetu na wajukuu wetu.yunataka kutengeneza taifa mithiri ya Somalia,burundi,Rwanda, Libya, Syria, Iraq etc.
7. Katukana nchi huko ughaibuni
Karibu mkuu! Sisi tulishatangulia siku nyingi!Lissu yupo smart sana. Ataipeleka nchi yetu mbali. Nitampigia kura
😂😂 Sijui baba jesika ana haligani alipoona hii video.Umekuja kupima upepo, au siyo?
Uzuri mkibanwa kwa hoja, hamkawii kukimbilia kuomba msaada wa polisi, NEC etc.
Tundu Lissu ni mwamba, asiyeogopa kuvishwa sanda.