Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anahutubia kwa Kilugha, NEC wamekaa Kimya, Je, wanamuogopa? Sheria inasemaje?

Uzuri wakitaka ushahidi wa boss wao watapewa
 
Lissu kaingiza kusikotakiwa ee,chomoa ujamb3
 
Ipo Ukurasa wa ngapi wa Ilani yenu.
 
Hahahaaaaa Lissu unadanganya watu mchana. JPM katika kipindi chake hakuna Mkoa umepewa chakula cha msaada maana watu wamelima wakavuna na ziada. Mkutano wenyewe naona Kama anahutubia watu 10 hapo.
 
We nawe huna Lolote huenda hata kujiandikisha hujajiandikisja. Ubaguzi gani umefanyika wewe.
Acheni kumtetea, amesema mwenyewe kuwa shida zikipelekwa kwake na wanawake weupe atawapa full attention.

Lissu hajatubagua sisi endangered spices.
 
Acheni kumtetea, amesema mwenyewe kuwa shida zikipelekwa kwake na wanawake weupe atawapa full attention.

Lissu hajatubagua sisi endangered spices.
Hahaaaaa kwahiyo huo ndo ubaguzi. Mmekosa kazi walahi nasema. Yaani mmekosa kazi haswaaaaaaaa.
 
Vibaraka wa mhutu mnskazi kweli ya kujitoa ufahamu ili mkono uende kinywani , mtafanyaje ndio mnategemea kuishi kwa kusifu na kuabudu kuponda upinzani . Wakati Jiwe anaporosha kichato Mwanza na wilaya zake hukumuona ? Kwa jinsi CCM mlivyo na Hali mbaya kwenye kampeni Mara mpige magoti , mara mlale mnaehuka Sasa hivi muanze kuvua nguo , anzeni dozi za bipolar disorder .
 
Anayetaka kuigeuza Tanzania kuwa Somalia ni yule mpuuzi mmoja anayedai wananchi wakichagua wagombea wa upinzani hatawapa maendeleo wakati kodi zao anakusanya na anazitumbua kujenga huko kwao. Takataka hii ondoa hapa.
 
Kama umewafanyia mema wa Tz kuna haja ganj ya kujidhalilisha namna hii!? Kwani ni lazima wewe uwe Rais?
 
Eti lisu afungiwe tena? Acha wewe fuatilia vizuri mikutano ya mtukufu Magufuli uone balaa lake pindi akiwa Chato.
 
Huwe zi kupewa jina zuri wakati matendo yako ni maovu,hivyo kwa kawaida utapewa jina linaloendana na matendo yako maovu.
Kwani pombe na makufuri ni majina mazuri?
 
Katika watu niliokuwa nawaamini humu kwenye news za kueleweka ni figganigga ila kwa kile ulichoandika Leo ni upumbavu wa Hali ya juu....umejishushia hadhi....umekua Kama kichaa....mbana magu huwa anaongea kisukuma hujawahi kusema....yaani umekua Kama chaja ya kobe
 
Ujumbe wako unamfaa zaidi Magu na si Lissu! Taifa ameligawa zamani sana sisi sasa hivi tunamsaidia tu kumega mega.

Ukivaa viatu vya Lissu kwa hakika havitaweza kukutosha, leta kidole chako kimoja tu tukikate uone kama utatusamehe na kutusahau maisha yako yote, Lissu ni survivor wa risasi 16 usimuhubirie hayo mahubiri yako ya kinafiki.
 
Crimea, Jane lowassa
Hafu naona saizi wameongezeka wengi , sijui Ni hawahawa ameongeza idadi ya account humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…