Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anahutubia kwa Kilugha, NEC wamekaa Kimya, Je, wanamuogopa? Sheria inasemaje?

Yaani ya Lissu ndiyo unayaona ?! . Hawa wanaowabagua WaTz walioamua kuchagua vyama vingine badala ya CCM unawasemeaJe ?! .
 
Aachwe tu haina effect mimi mwenywe ni mnyiramba. Aachwe tu asipewe political mileage.
 
Hahahaha!!! Ni kweli kabisa Mkuu yaani huyu jamaa anajua Sana kumzingua magufuli
 
Propaganda hizi hazijaanza leo tangu enzi za Mwl Nyerere tuliambiwa ni Mtutsi na hata nikisomaga historia ya Makabila nagundua Wahadzabe ndo Kabila pekee lenye asili ya hapa hapa Miaka 600 iliyopita makabila Mengine yamekuja tu as results on Diversify of Animals.
 
Huyu Lissu ni mtu hatari sana, wa kulaumiwa ni wale walioshindwa kumuuwa kwa risasi.

Hata kura yangu kama haitohesabiwa lakini lazima nimpigie Ni YeYe
 
Kuna dish lilikuwa linazungumza kisukuma kule kanda ya ziwa, lile hamkulisikia nyie nzi wa kijani?

Halafu kumbe Lisu mnampenda ndo maana mnafatilia anazungumza nn
 
WEWE JAMAA HYAWEZEKANA CHAMA CHA SIASA BORA VIKO VINGI MAANA KUNA WATU WANGETEMBEA UCHI KWA SABABU HUELEWI OVIOUS VICHWA VYA WATU VIMEJAA MBALIMBALI NA KATHALIKA


UTAWALA WA CHAMA KIMOJA ILIKUWA KUORDER TU

1. ATEMBEE UCHI

2. FUKUZA KAZI

3. CHANA NGUO

4. LAZIMA ANIPENDE MIMI SIYO YULE

5. HATAKIWI KUOA/KUOLEWA

6. AFIKIRISHWE UJAMAA PEKEYAKE

7. HAFIKIRI TENA

8. TUNATAKA MOYO

9.TUNATAKA INI

10. ERROR TERM


WATU WANATEKELEZA KWA SABABU NI RAHA KUWA KARIBU NA KIONGOZI
 
Hivi nyinyi mataga huwa mnatumia viungo gani vya mwili kufikiri kabla ya kuandika jambo ??, kwani si kweli kwamba huyo mhutu wenu hajaua watu ?, Lissu amesema kwa sababu anafahamu kwamba magufuli yuko nyuma ya matukio yote ya mauaji yaliyowahi kutokea hapa nchini, na ndio maana amesema kwamba watu wametekwa na wengne kuuawa wakati wa utawala wa magufuli, au wewe hukuwahi kusikia matukio ya utekaji na uuaji wa watu ???. yuko wapi Akwilin ?, yuko wapi Mwangosi ?, yuko wapi Kamanda Mawazo ?, yuko wapi Saanane ?.
 
Hapo ndo ninapompendea Lissu, tumepiga kelele humu Mrundi anahutubia Kisukuma, wewe na misukule wenzio mkatetea. Lissu kawajibu mmetoka kama mmechokonolewa. Mkiweka ugoko Lissu anaweka jiwe.
Kufuatana na hii kauli yako, Lissu anamfatilia Magufuli kwa nyuma - hivyo Magufuli akishinda na kuwa rais tena, Lissu atakuwa anachungulia ikulu. Bahati mbaya hiyo ni nafasi moja tu Lissu hatamgeza tena.
Lissu anashindwa wapi kuanzisha ya kwake? Mara zote anasubiri Magufuli atende yeye a copy!
 
Sheria zipo ajili ya Chadema na ACT pekee
 
Yaani nifike nyumbani niache kusalimia hata kwa kilugha ache hizo wewe pambaneni na hali zenu
 
Kwahiyo yule mgombea anaposema mkiniletea mpizani sitoleta maendeleo kwenu huwa analiunganisha taifa au anafanyaje hapo ?
 
Hapo ndo ninapompendea Lissu, tumepiga kelele humu Mrundi anahutubia Kisukuma, wewe na misukule wenzio mkatetea. Lissu kawajibu mmetoka kama mmechokonolewa. Mkiweka ugoko Lissu anaweka jiwe.
Aiseee
 
Kanuni za NEC ndizo zinazokataza lugha za kikabila kwenye kampeni. Sasa kwa sababu alieanza kukiuka kanuni hagusiki basi kanuni hiyo mnataka ifutwe kabisa? Hiyo siyo nchi tena; labda fiefdom!

Sijasema ifutwe mimi bali sioni hata kama kuna haja ya kusimamia sheria hiyo, kifupi ni ya kipuuzi tu.
 
Ila naona kajirekebisha sana. Kaacha yale maneno ya " aliua, aliteka watu" nk. Walao anasema hayo yalitokea katika utawala wa miaka mitano ya awamu hii. Akiendelea hivyo nadhani hatafungiwa tena.
 
Acha kulialia boya wewe, Lisu yupo sahihi 100%.
Wapo wapi waliompiga risasi? Wapo wapi waliomteka Ben Saa8 na Kanguye?
Ipi kauli ya rais dhidi ya matendo hayo?
Alishawahi kukemea au hata tu kuwafariji ndugu zao?
Kwa nini asisemwe kuwa yupo nyuma ya hayo yote?
Kumbuka kauli ya Pompeo dhidi ya Bashite
 
Hili la lugha Mahera atapotezea maana mungu wa chato ndio kalianzisha. Kuna lile la vyama kuungana Cheyo kakurupuka kumuunga Magufuli sijui uzee hakusikia ya Tume?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…