Unahangaika Sana Jo..sometimes sio lazima uandike unajidhalilishaNimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.

Cc Nawengine wote was Aina yakeUnahangaika Sana Jo..sometimes sio lazima uandike unajidhalilisha
Sasa hivi hawaamini kama watanzania wamewageuka na hawawataki kabisaZaidi wanavuna walichopanda,haiwezekani mpande mawe mtegemee kuvuna mahindi.
Yeye kazi yake ni mlinzi wa getini hapo lumumba kama unavyo muonaNa wewe johnthebaptist unapaswa kuwa nani hapo Lumumba.?
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Na hii nayo unaiita thread? Halafu Moderator huwa anakupendelea sana! Mauchafua yako mengi huwa wanayaacha! Sijui ili wasionekane wanapendelea upinzani? Mmezoea kubebwa hamna hoja stupid.Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Mmawia Kama Mmawia. Inaonekana hasira ziko karibu snYeye kazi yake ni mlinzi wa getini hapo lumumba kama unavyo muona View attachment 1574434
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Kamwambie chakubanga hizo ngonjera zako.Mmawia Kama Mmawia. Inaonekana hasira ziko karibu sn
Endelea kuigeuza siasa kuwa ya kisayansi muda muafaka tutaelewana.Lissu sio mbaya lakini kwa urais bado na hatapata. Mimi nashauri ateuliwe ubalozi hapo Rwanda au Burundi. Sio mbaya pia Kama atatuwakilisha hapo Congo DR au Sudani kusini ikishindikana Uganda hapo.
H.E Tundu Antipas Lissu
Nashindwa kukuelewa ndugu yangu.Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.
Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa Chadema kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika.
Lakini kwa nafasi ya Rais wa Tanzania bado hatoshi, angejiandaa kwanza labda kwa 2030 anaweza kuwa amejijengea uwezo.
Itoshe tu kusema kwa urais TAL anapaswa kusubiri.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa kama mlichagua Mbuzi kutoka Burundi awe Rais na akawa sembuse msomi Mahiri Tundu Lissu?Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT.