Huyu wa sasa wala hana visasi ana CHUKI kabisa. Umkosee utakufa usimkosee ilimradi anakuchukia utakufa.Pamoja na ukweli kwamba ndugu yetu Tundu Lisu alipatwa na majanga makubwa na ya kusikitisha sana pale aliposhambuliwa na majambazi lakini hiyo siyo sababu ya kupanda roho ya kisasi ndani ya moyo wake....
Acha unafiki. Hautakusaidia kitu. Utakufa watu wafanye sherehe hapa jukwaanipale aliposhambuliwa na majambazi
Kwani wewe ukifa watu watafanya nini?Acha unafiki. Hautakusaidia kitu. Utakufa watu wafanye sherehe hapa jukwaani
Mi siyo mnafiki mwandamizi kama weweKwani wewe ukifa watu watafanya nini?
Ndio maana unaogopa kufa!Mi siyo mnafiki mwandamizi kama wewe
Nani alikuambia alishambuliwa na majambazi?Pamoja na ukweli kwamba ndugu yetu Tundu Lisu alipatwa na majanga makubwa na ya kusikitisha sana pale aliposhambuliwa na majambazi lakini hiyo siyo sababu ya kupanda roho ya kisasi ndani ya moyo wake...
Kwani Raisi wa bongo inabidi aweje?Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT...
Inashangaza kuona wakili mbobezi ana hujumuiwa kirahisi hivi. Kuna watu wanamlisha matango pori na yeye anabugia bila kutafuna.Pamoja na ukweli kwamba ndugu yetu Tundu Lisu alipatwa na majanga makubwa na ya kusikitisha sana pale aliposhambuliwa na majambazi lakini hiyo siyo sababu ya kupanda roho ya kisasi ndani ya moyo wake.....
Walishafeli kabla ya kuanza.Mnachekesha kweli kweli mara mmekuwa washauri wa CDM ushauri huu pelekeni pengine sio CDM naona kama wamejitosheleza vile. Naona mnajitahidi kumgombanisha Lisu na Mbowe kwa nguvu zote.
Hahaha hampendi demokrasia? Maisha ni ushindani, Mbowe hawezi kua mwenyekiti wa kudumu chamani.Mnachekesha kweli kweli mara mmekuwa washauri wa CDM ushauri huu pelekeni pengine sio CDM naona kama wamejitosheleza vile. Naona mnajitahidi kumgombanisha Lisu na Mbowe kwa nguvu zote.
Tumupe wa kudumu mwenyekiti wetu.Hahaha hampendi demokrasia? Maisha ni ushindani, Mbowe hawezi kua mwenyekiti wa kudumu chamani.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
Nyerere alikuwa mwenyekiti wa chama kwa muda gani? You always want weak leaders to ride on and manipulate.Hahaha hampendi demokrasia? Maisha ni ushindani, Mbowe hawezi kua mwenyekiti wa kudumu chamani.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app