Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

Wew unachokijua Ni kufanya matendo ya kishoga endelea na ushoga wako tu mengine waachie wao nd
 
Wewe kunguni wa mama Abdul chama chenu hakina makamu mwenyekiti miezi 6 sasa ni vyema mngejipanga na chama chenu kuliko kukomaa na issue za chama chenu cha majizi ya kura.
 
Upo sawa, hata huko juu atasumbua aise, uongozi hautaki maneno mengi, mwisho utasema hata siri za nchi.

Pia walitakiwa wapewe semina kabla ya kuingia kwenye hiyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…