secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
HahahHuyo ubongo wake ulichelewa kupata oxygen.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahHuyo ubongo wake ulichelewa kupata oxygen.
Mwamba ndiye chaguo la wana CHADEMAAcha fitina ww chawa wa mbowe, inashangaza tangu lini ccm ikawa na huruma na chadema## mbowe must go
Kachokwa lissu na matamko yake ya kuropoka.Leo wanaccm ndio watu wa kuishauri cdm? Anyway Mbowe kachokwa
Wew unachokijua Ni kufanya matendo ya kishoga endelea na ushoga wako tu mengine waachie wao ndNdugu zangu Watanzania,
Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama,hakuna aliye juu ya chama,hakuna mwenye kusema pasipo yeye hakuna CCM au kwamba yeye ndiye CCM na hawezi kufukuzwa wala kuambiwa chochote kile.
Ndani ya CCM mtu au kiongozi yeyote yule anaweza kuitwa kuhojiwa au kupewa onyo au karipio au kusimamishwa uanachama au kufukuzwa kabisa. Ndani ya CCM Bila kujali ukubwa wa jina la mtu au umri wake au wadhifa wake au umaarufu wake au uungwaji mkono wa mtu unaweza kukatwa jina na kuenguliwa katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi fulani ikiwa itabainika umekiuka sheria, kanuni, taratibu, miongozo na katiba ya chama.
Huwezi ukafumbiwa macho ndani ya CCM ikiwa mwenendo wako utaonekana kuhatarisha umoja na mshikamano wa chama au ikiwa mwenendo wako unakigawa chama na wanachama.Mifano ipo mingi lakini sitaitaja kwa leo ili andiko lisiwe refu sana.
Sasa tangia kupulizwa kwa filimbi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CHADEMA. na Lissu kuchukua Fomu ya kuwania uenyekiti wa chama Taifa.Imeleta aibu kubwa sana na fedheha kubwa sana kwa chama na yeye mwenyewe.ambapo watu mbalimbali wenye akili Timamu wamebaki wanajiuliza ilikuwaje Lissu akafikia hatua ya kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa?
Kila mtu ameshuhudia lissu akiongea mambo ya chama bila breki,akiongea na kutoa siri za chama hadharani bila kikomo wala breki utafikiri amekatika mishipa ya fahamu.kauli zinazotoka mdomoni pake zimekivua nguo chama na kuharibu sifa ya chama kwa kuonekana ni kama genge la wasaka Tonge na wachumia tumbo tu wasio na muelekeo wala Dira zaidi ya maslahi binafsi.
Lissu kwa mdomo wake ambao haujawahi kuwa na subira wala uvumilivu wala hekima wala busara wala staha amefanya kazi ya kuwachafua viongozi wenzake,kuwazushia uongo na ufitini pasipo ushahidi wa aina yoyote ile alioutoa hadharani.Ametoa kila aina ya siri za chama zinazopaswa kuzungumzwa kwenye vikao nyeti vya chama.
Amekuwa akiserereka tu Mdomoni pake utafikiri gari lililokatika breki mteremkoni.haelewi wala kujua kipi cha kuongea hadharani na kipi cha kuongelewa faragha.hajui kipi azungumze na kipi asizungumze.yaani yeye Maiki ikiwa mbele yake ni kama anachanganyikiwa na kupoteza balansi ya mdomo.
Hivyo kujenga nidhamu ya chama anapaswa kukatwa na kuenguliwa haraka sana pamoja na kutoa onyo kali sana kwake .na ikiwa ataendelea basi afukuzwe chamani na kwenda anakotaka.ni lazima CHADEMA ichukue hatua hizo mapema sana ili kukinusuru chama na kujenga umoja na mshikamano ndani ya chama.
Haiwezekani CHADEMA iliyojengwa kwa jasho na Damu ibomolewe kwa mwezi mmoja na Mdomo wa Lissu usio na breki wala kipimo . haiwezekani CHADEMA ambayo kuna watu wameipambania kwa jasho na Damu na wameifia, leo hii lissu aje aanze kuipeleka shimoni halafu abakie anaangaliwa bila kuchukuliwa hatua zozote zile.hiyo haiwezekani na haikubaliki na haipaswi kukubalika wala kufumbiwa macho wala kuvumiliwa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kachokwa na Nani huyo au wasemea wewKachokwa lissu na matamko yake ya kuropoka.
Kuliko matamko ya bibi wa Unguja kuzipongeza Simba na Yanga wakati kuna maeneo ya jiji tena la Dar es Salaam hayana maji?Kachokwa lissu na matamko yake ya kuropoka.
Mwamba huyu huyu uliyemuandika hapa wewe kunguni?Mwamba ndiye chaguo la wana CHADEMA
Akili yako inaonyesha ina matatizoWew unachokijua Ni kufanya matendo ya kishoga endelea na ushoga wako tu mengine waachie wao nd
Wewe kunguni wa mama Abdul chama chenu hakina makamu mwenyekiti miezi 6 sasa ni vyema mngejipanga na chama chenu kuliko kukomaa na issue za chama chenu cha majizi ya kura.
Hili bwabwa halina kumbukumbu kabisa.Mwamba huyu huyu uliyemuandika hapa wewe kunguni?View attachment 3197135
Huyo ndio makamu mwenyekiti wewe kunguni?
Inaonyesha uwezo wako wa kusoma na kuelewa ulichokisoma ni mdogo sana.Huyo ndio makamu mwenyekiti wewe kunguni?
Huna akili kabisa wewe zwazwaInaonyesha uwezo wako wa kusoma na kuelewa ulichokisoma ni mdogo sana.
Naona tu unavyoendelea kuropoka ropoka tu hapaHuna akili kabisa wewe zwazwa
Huna akiliNaona tu unavyoendelea kuropoka ropoka tu hapa