Hapo hapagusiki maana mfalme juha evuliwa nguo. Siku hizi husikii alikemea ufisadi tenaNinaona leo mmejaribu kujibu hoja ya kugawa majimbo na hoja ya vitambulisho. Lakini kule kwa mtoto wa dada kuwa Paymaster General, na Mayanga Constructions hamkugusa kabisa.
😂😂😂😂Hapo hapagusiki maana mfalme juha evuliwa nguo. Siku hizi husikii alikemea ufisadi tena
Amezungumzia mambo makubwa kama matatuEeh sasa tujadili ushirikina tena??
Ninaona leo mmejaribu kujibu hoja ya kugawa majimbo na hoja ya vitambulisho. Lakini kule kwa mtoto wa dada kuwa Paymaster General, na Mayanga Constructions hamkugusa kabisa.
Tatizo ni kwamba Plan zake za kujiongezea miaka imefeli,sasa Ile kustuka 2020 hii hapa, sasa anataka wale wale ambao kutwa alikuwa anawatukana wapumbavu ndio anataka wamuibie kura ili aendelee kuwaita wapumbavu na kudukua simu zao na wapenzi wao, hapo ndipo kwenye mtihani.Tatizo Magu alijiona kama mungu mtu. Aliona miaka mitano ni mingi sana. Sasa mwache na yeye aisome namba
Hapa umesema.... anatumia mapungufu mengi ya aliyepo!
[emoji28]
[emoji109] [emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji95]
PhD ya maganda ya korosho harafu saa 8 alipoihoji akapotea, shameso far hakuna hoja ya maaana lissu aliongea, anaeleweka na wana saccos wenzake! most of the things anaongea are totally wrong, sheria sijui, na sio fun wa sheria sana!!!
ila economics, ni aibu ata kusema ni mtu wa tanzania, anashindwa hata basic economics na katoto kanachojua savings
- no wonder alisoma HGE, alitumia mda mwingi kujifunza kuandika IMLA, sasa anataka kubattle na PHD ya kemia, WTF!
Huna mbinu zaidi ya kuiba kura. Na sahivi Lissu atakachowafanya hamtaamini.Inakatisha tamaa,Lakini tutashinda kwa mbinu
Duh, kagera kumewaka, magu atafute kazi ya kufanya safari hiiHapa umesema.
Lissu anaweza akaongelea mapungufu ya serikali ya CCM kampeni nzima.
Magufuli anachukiwa na wengi sana. Zaidi ya kutumia dola, jamaa imekula kwake.
Hawezi atazidi kupoteza kura zake yeye alijiona atakaa milele pale. Sipati picha watu kama akina Jenister Mhagama jinsi walivyokuwa wanamsifia na hali ilivyo sa hivi.Jiwe ajibu Kuhusu kufilisi mifuko ya jamii
Kupora haki za wafanyakazi wanyonge
Fao la kujitoa
mbona tunaona ni mikutano ya kuvalishwa kofiamaendeleo si yanaongelewa kwenye kampeni arifu,
Maneno mazito haya.... Mshana km mshanaKafara La damu mbichi ya mwanadamu hai iliyogusa ardhi isiyosakafiwa ni kafara lenye nguvu mno
Kafara nyingi huwa na damu mbichi lakini kiumbe hufa kwa mateso mara nyingi ya kuachiwa kirukeruke mpaka roho itoke..hizi kafara za namna hii huwa zina nguvu lakini hazina double impact kama lile la Lissu
Kafara hili nguvu na mvuto wake ni zaidi ya ndele na yale mafuta ya simba kwakuwa
Damu mbichi ya moto imebusu udongo
Damu haikuwa mfu
Roho haikutengana na nafsi hai
Mwili ulijeruhiwa lakini haujaharibika
Ni nguvu mara tatu DAMU NAFSI NA ARDHI
Hii inapelekea hata wale wanaojaribu kujibu hoja zake wanaishia kukosa nguvu ...wanaishia kukosa mvuto kishapo wanaweweseka...mfano halisi ni mgombea pinzani na vijana wa lumumba mitandaoni
Kitu kingine ni kwamba kafara hili nguvu yake ilianza kazi kipindi kilekile ndio maana likafubaza hata lile kafara maarufu la kukimbiza moto nchi nzima maarufu kama mwenge wa uhuru
Kwahiyo nguvu na mvuto alivyonavyo TAL ni vya kiroho zaidi kuliko kimwili na ndio maana ganzi zilianzia pale airport alipotua mpaka kupitishwa na tume ya uchaguzi...
Na huu mwendo ni mpaka ikulu...hakuna majeshi wala polisi watainua silaha juu yake..ganzi itakapowaisha jamaa yuko ndani ya jumba jeupe
Hii ndo shida kuu ya magufuli! Huwezi kuwanyanyasa na kuwatesa watu alafu utegemee wao ndo wakubebe kwenye uchaguzi!! Never on earth!Tatizo ni kwamba Plan zake za kujiongezea miaka imefeli,sasa Ile kustuka 2020 hii hapa, sasa anataka wale wale ambao kutwa alikuwa anawatukana wapumbavu ndio anataka wamuibie kura ili aendelee kuwaita wapumbavu na kudukua simu zao na wapenzi wao, hapo ndipo kwenye mtihani.
Hayo mawe aliyoyarusha Lissu huko kibondo ni mazito sanaMimi ni mwana CCM, Tundu Lissu anachotufanyia sio sahihi kabisa,Sasa anatuchezesha segere ya kujibu hoja zake ambazo kwenye TV hazionyeshwi na hazijibiki
Yale maelfu ya watu wanaomfuata wanatoka wapi?
Taarifa zake zinaenea kwa style ipi mpaka viongozi wa ccm wanazipata na kuzijibu?
William Lukuvi aliwahi kutamka kuwa Tundu lissu anatumia Ngekewa au kamzizi wakati wa Bunge la Katiba kushawishi wajumbe wamsikilize na wengi kukubaliana na hoja zake,Kauli ya lukuvi ilitokana na Tundu lissu kuwazidi kwa hoja za mambo ya muungano na uwezo wa kushawishi wajumbe
Je kwa haya yanayoendelea kwenye kampeni kwa umati unaomfuata na kusababisha kila mtu kumfuatilia ni Ngekewa au kamzizi?
Siamini katika ndumba lakini hizi video zinajieleza
Kama watu wameamua tu kumfuata bila ndumba au kamzizi basi ccm chama changu kinapaswa kubadili mbinu
Facebook huko imewekwa hoja ya Majimbo watu wanaisifia na kuponda chama cha mapinduzi vibaya sana na hii ndio imepelekea mimi kuandika hii mada hapa JF
Nashauri chama changu mbinu ya kumaliza hizi hoja ni kutekeleza mambo yafuatayo kuelekea oktoba 2020
Mosi, Kushusha kodi ya pay as you earn kwa asilimia mbili
Pili, Kurudisha riba ya mikopo ya wanafunzi mpaka kumi asilimia au nane
Tatu, Kuwaomba radhi wale ambao bado wana hasira na chama hasa baadhi ya wafanyabiashara na wakulima
Nne, Kundi kubwa la CCM linaonyesha litapiga kura za hasira hivyo linahitaji kuwa nalo makini,Hawa wanashangilia lakini ni dhahiri watakiadhibu chama kwenye sanduku la kura,Tuwe nao watu hawa makini kwenye kampeni
View attachment 1576515
View attachment 1576517
Tueleze vigezo vinavyotakiwa kwa kupatikana kiongozi wa nchi.so far hakuna hoja ya maaana lissu aliongea, anaeleweka na wana saccos wenzake! most of the things anaongea are totally wrong, sheria sijui, na sio fun wa sheria sana!!!
ila economics, ni aibu ata kusema ni mtu wa tanzania, anashindwa hata basic economics na katoto kanachojua savings
- no wonder alisoma HGE, alitumia mda mwingi kujifunza kuandika IMLA, sasa anataka kubattle na PHD ya kemia, WTF!
Mkuu hayo mawe yaliyorushwa kwenye hiyo clip naamni yamekufanya utoke pangoniDah... Nmeamini washabiki wengi wana moyo sana
Maana si kwa kujifariji huku