Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ile hotuba ya kibondo inaweza kupelekea watu wakampiga mawe mtu.Lissu anatakiwa kuendelea kurusha haya mambo mazitoKwangu naona lissu amemhurumia sana jpm, jpm kafanya mengi ya hovyo kama uvunjaji wa katiba, kuonea watu, kutoa mikopo kiubaguzi.
Kutumia polis kunyanyasa wapinzani, kujipendelea.kushindwa kusimamia usalama wa ria na Mali zao na kusababisha kutekwa watu na kupigwa risasi mchana kweupe
Pole sana mkuu!Mkuu hayo mawe yaliyorushwa kwenye hiyo clip naamni yamekufanya utoke pangoni
Aisee kama hiyo hukumu ni halali basi Lissu ameshashinda asubuhi na mapema! Maana katika kampeni za mwaka huu mgombea wa CCM ameshakiuka sheria na kanuni za uchaguzi mara kadha ambapo kama Lissu akishindwa kwa sababu yoyote na akaamua kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM kwa kutumia hoja hizi , basi ni dhahiri Ushindi wa CCM lazima utenguliwe! Baadhi ya makosa na ukiukwaji ni pamoja na;-Hivi hii hukumu ya Africa Mashariki ccm wameshatekeleza?
spiritualKafara La damu mbichi ya mwanadamu hai iliyogusa ardhi isiyosakafiwa ni kafara lenye nguvu mno
Kafara nyingi huwa na damu mbichi lakini kiumbe hufa kwa mateso mara nyingi ya kuachiwa kirukeruke mpaka roho itoke..hizi kafara za namna hii huwa zina nguvu lakini hazina double impact kama lile la Lissu
Kafara hili nguvu na mvuto wake ni zaidi ya ndele na yale mafuta ya simba kwakuwa
Damu mbichi ya moto imebusu udongo
Damu haikuwa mfu
Roho haikutengana na nafsi hai
Mwili ulijeruhiwa lakini haujaharibika
Ni nguvu mara tatu DAMU NAFSI NA ARDHI
Hii inapelekea hata wale wanaojaribu kujibu hoja zake wanaishia kukosa nguvu ...wanaishia kukosa mvuto kishapo wanaweweseka...mfano halisi ni mgombea pinzani na vijana wa lumumba mitandaoni
Kitu kingine ni kwamba kafara hili nguvu yake ilianza kazi kipindi kilekile ndio maana likafubaza hata lile kafara maarufu la kukimbiza moto nchi nzima maarufu kama mwenge wa uhuru
Kwahiyo nguvu na mvuto alivyonavyo TAL ni vya kiroho zaidi kuliko kimwili na ndio maana ganzi zilianzia pale airport alipotua mpaka kupitishwa na tume ya uchaguzi...
Na huu mwendo ni mpaka ikulu...hakuna majeshi wala polisi watainua silaha juu yake..ganzi itakapowaisha jamaa yuko ndani ya jumba jeupe
Kama magu aliyepoteza pesa za walipa kodi na kujenga uwanja wa ndege chato usio na faidaPole sana mkuu!
Baada ya oktoba utajua kwamba ulikuwa unapoteza muda
Ndio maana nimeuluza maana sina hakika km maccm yameshakubali kutekeleza hiyo hukumu halali au wanataka mpaka wawekewe vikwazoAisee kama hiyo hukumu ni halali basi Lissu ameshashinda asubuhi na mapema! Maana katika kampeni za mwaka huu mgombea wa CCM ameshakiuka sheria na kanuni za uchaguzi mara kadha ambapo kama Lissu akishindwa kwa sababu yoyote na akaamua kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM kwa kutumia hoja hizi , basi ni dhahiri Ushindi wa CCM lazima utenguliwe! Baadhi ya makosa na ukiukwaji ni pamoja na;-
1.Mgombea wa CCM kutumia cheo cha urais kutoa ahadi wakati wa kampeni
2.Mgombe wa CCM kutumia cheo cha urais kupiga simu katikati ya mkutano wa kampeni kuamuru ujenzi wa barbara uanze
3.Mgombe wa CCM kuingilia mkutano wa LIssu kule kigoma ilihali hakuwa na ratiba ya Tume ya uchaguzi
4.Mgombea wa CCM kutumia rasilimali za serikali kwa shughuli za kisiasa.
5.Serikali nzima wakiwemo wabunge ambao ni mawaziri wote na manaibu mawaziri wote wa CCM kuendelea nyadhifa zao ilihali bunge lilishavunjwa na wanatumikia nyadhifa zao kukipigia CCM kampeni huku wakitumia rasilimali za serikali.
Aiseee !!Ninaona leo mmejaribu kujibu hoja ya kugawa majimbo na hoja ya vitambulisho. Lakini kule kwa mtoto wa dada kuwa Paymaster General, na Mayanga Constructions hamkugusa kabisa.
Ahaaa kuna mme mwenza ndiye mwenye tenda zote kubwa kubwa kanda ya ziwa, akilipwa na mtoto wa dada. Ufisadi huu haujapata kuwepo nchini.Ninaona leo mmejaribu kujibu hoja ya kugawa majimbo na hoja ya vitambulisho. Lakini kule kwa mtoto wa dada kuwa Paymaster General, na Mayanga Constructions hamkugusa kabisa.
Sasa hivi Yohana haongelei tena kupigana na ufisadi.Ahaaa kuna mme mwenza ndiye mwenye tenda zote kubwa kubwa kanda ya ziwa, akilipwa na mtoto wa dada. Ufisadi huu haujapata kuwepo nchini.
Tundu lissu anatumia mziziSasa hivi Yohana haongelei tena kupigana na ufisadi.
Ninachokijua mimi kuhusu chadema huwa hawakai kwenye hoja moja. Huhamahama kama nyumbu tena kwa kasi na kusahau walikotoka.Kule namtumbo na Dodoma na singida tuna uranium eti yote Ni ya mafisadi ya maccm yaliyoko Dar, Kama ilivyo gas ya mtwara na Lindi, au dhahabu ya shinyanga
Bila majimbo Haikubaliki
Mimi ni mwana CCM, Tundu Lissu anachotufanyia sio sahihi kabisa, Sasa anatuchezesha segere ya kujibu hoja zake ambazo kwenye TV hazionyeshwi na hazijibiki.
Yale maelfu ya watu wanaomfuata wanatoka wapi?
Taarifa zake zinaenea kwa style ipi mpaka viongozi wa ccm wanazipata na kuzijibu?
William Lukuvi aliwahi kutamka kuwa Tundu lissu anatumia Ngekewa au kamzizi wakati wa Bunge la Katiba kushawishi wajumbe wamsikilize na wengi kukubaliana na hoja zake, Kauli ya lukuvi ilitokana na Tundu lissu kuwazidi kwa hoja za mambo ya muungano na uwezo wa kushawishi wajumbe
Je, kwa haya yanayoendelea kwenye kampeni kwa umati unaomfuata na kusababisha kila mtu kumfuatilia ni Ngekewa au kamzizi?
Siamini katika ndumba lakini hizi video zinajieleza
Kama watu wameamua tu kumfuata bila ndumba au kamzizi basi ccm chama changu kinapaswa kubadili mbinu
Facebook huko imewekwa hoja ya Majimbo watu wanaisifia na kuponda chama cha mapinduzi vibaya sana na hii ndio imepelekea mimi kuandika hii mada hapa JF
Nashauri chama changu mbinu ya kumaliza hizi hoja ni kutekeleza mambo yafuatayo kuelekea oktoba 2020
Mosi, Kushusha kodi ya pay as you earn kwa asilimia mbili
Pili, Kurudisha riba ya mikopo ya wanafunzi mpaka kumi asilimia au nane
Tatu, Kuwaomba radhi wale ambao bado wana hasira na chama hasa baadhi ya wafanyabiashara na wakulima
Nne, Kundi kubwa la CCM linaonyesha litapiga kura za hasira hivyo linahitaji kuwa nalo makini,Hawa wanashangilia lakini ni dhahiri watakiadhibu chama kwenye sanduku la kura,Tuwe nao watu hawa makini kwenye kampeni
Naona hata chair mbowe kama Hana Raha na lissu, anahisi kabisa anapokwa uenyekiti.Kafara La damu mbichi ya mwanadamu hai iliyogusa ardhi isiyosakafiwa ni kafara lenye nguvu mno
Kafara nyingi huwa na damu mbichi lakini kiumbe hufa kwa mateso mara nyingi ya kuachiwa kirukeruke mpaka roho itoke..hizi kafara za namna hii huwa zina nguvu lakini hazina double impact kama lile la Lissu
Kafara hili nguvu na mvuto wake ni zaidi ya ndele na yale mafuta ya simba kwakuwa
Damu mbichi ya moto imebusu udongo
Damu haikuwa mfu
Roho haikutengana na nafsi hai
Mwili ulijeruhiwa lakini haujaharibika
Ni nguvu mara tatu DAMU NAFSI NA ARDHI
Hii inapelekea hata wale wanaojaribu kujibu hoja zake wanaishia kukosa nguvu ...wanaishia kukosa mvuto kishapo wanaweweseka...mfano halisi ni mgombea pinzani na vijana wa lumumba mitandaoni.
Kitu kingine ni kwamba kafara hili nguvu yake ilianza kazi kipindi kilekile ndio maana likafubaza hata lile kafara maarufu la kukimbiza moto nchi nzima maarufu kama mwenge wa uhuru.
Kwahiyo nguvu na mvuto alivyonavyo TAL ni vya kiroho zaidi kuliko kimwili na ndio maana ganzi zilianzia pale airport alipotua mpaka kupitishwa na tume ya uchaguzi.
Na huu mwendo ni mpaka ikulu...hakuna majeshi wala polisi watainua silaha juu yake..ganzi itakapowaisha jamaa yuko ndani ya jumba jeupe.
Ni vixuri ujifariji maana mateso utakayopata kuanzia tarehe 28/10 hayaelezeki na huku mgombea wenu ataanza safari za kwenda mtaa wa Bibi Titi.Stress ya kutosha kuwazeeshaVyombo vyote vimeanza kujiandaa jamaa aapishwe
Muda mfupi ujao hautamsikia Siro Wala nani wote watatulia tu.