Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,971
- 13,608
Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao!Vyombo vyote vimeanza kujiandaa jamaa aapishwe
Muda mfupi ujao hautamsikia Siro Wala nani wote watatulia tu.