Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anatumia ngekewa au kamzizi kukiangamiza CCM na kushawishi watu kumfuata?

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anatumia ngekewa au kamzizi kukiangamiza CCM na kushawishi watu kumfuata?

Vyombo vyote vimeanza kujiandaa jamaa aapishwe

Muda mfupi ujao hautamsikia Siro Wala nani wote watatulia tu.
Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao!
 
Na huu mwendo ni mpaka ikulu...hakuna majeshi wala polisi watainua silaha juu yake..ganzi itakapowaisha jamaa yuko ndani ya jumba jeupe.
1601821505575.png
 
Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao!
Uliona mbali sana Leo Sirro hayupo
 
Back
Top Bottom