Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
 
Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.

Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
 
Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia. Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Tunashukuru kwa ushamba wetu lakini miundo mbini ya kiwango ndio hiyo hiyo inawekwa na washamba sasa sijui hapo mshamba ni nani
 
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana

Chadema ni Shetani kwa CCM: MZEE WASIRA

Sikiliza maneno ya Mzee Steven Wassira utaelewa kwanini lazima CCM Mpya waitaje CHADEMA na CHADEMA wamtaje Magufuli kwa sababu CCM ni chama dola na siyo chama cha kisiasa hivyo CCM Mpya ndiyo Magufuli.

"Imamu au Mchungaji hawezi kumaliza ibada bila kumtaja shetani ambaye ndiyo mpizani wao" mwisho wa kumnukuu mzee Wasira.

Na katika siasa ni hivyo hivyo katika siasa za ushindani, siasa haikamiliki bila kumtaja mpinzani wako.
 
Chadema ni Shetani kwa CCM: MZEE WASIRA

Sikiliza maneno ya Mzee Steven Wassira utaelewa kwanini lazima CCM Mpya waitaje CHADEMA na CHADEMA wamtaje Magufuli kwa sababu CCM ni chama dola na siyo chama cha kisiasa hivyo CCM Mpya ndiyo Magufuli.

"Imamu au Padri hawezi kumaliza sala bila kumtaja shetani ambaye ni mpizani wao" mwisho wa kumnukuu mzee Wasira.

Na katika siasa ni hivyo hivyo katika siasa za ushindani, siasa haikamiliki bila kumtaja mpinzani wako.
We ni hasara kwa familia yako na taifa kwa ujumla, pole yako
 
Mie naona kinyume chake yahani Lissu aogopwa hadi kupigwa risasi ili asiendelee kuishi!....
 
Dhana ya upinzani ni kukiondoa chama kilichopo madarakani kupitia sanduku la kura . Hivyo ukikwepa kukitaja chama tawala na kiongozi wao mnaeshindana naye basi wewe siyo mpinzani na wala huna nia ya kuongoza nchi.

"KUWEPO KWA CHAMA DOLA NI KIKWAZO CHA MAENDELEO NCHINI" Dkt Lwaitama

Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi

Unazifahamu risasi 16 wewe? Bora ukae kimya.
 
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Mkuu umekurupuka tu katika mada yako, pengine hujui mbinu za vita vya kibiashara ikiwemo siasa. Vita kati ya " market leader & market follower" huwa siku zote ni kubwa ili kuongeza "market share"

Uungwaji mkono wa hiari na wapiga kura wengi ni "social capital" ambapo CCM ikiwa ndiyo "market leader" kwa ni chama tawala kikilindwa na mbeleko ya vyombo vya dola jambo ambalo inajivunia sana. Umaarufu wa CCM unapungua kila uchao mbele ya wananchi, na hata kukosa mvuto kutokana na ukale wa sera zake.

Lakini kwa upande wa CDM kikiwa ndicho chama kikuu cha upinzani ni "market follower" ambacho pasipo kushikilia vyombo vya dola, bado kinaumgwa mkono na watu wengi hapa nchini. Hiki ni kitu ambacho ni chanzo cha hofu kwa CCM na viongozi wake na pia hata kwa Lissu kwa ndiye mpeperusha bendera kwa nafasi ya uraisi.
 
Miundombinu ya kiwango gani mtoto wa mama wewe? Umeshatembea hata nchi za jirani ukaona miundombinu au ushamba ndyo unakusumbua?
Sasa wewe na akili zako za maziwa mdomoni unategemea uwe na miundo mbinu ya 1st world overnight ??
Hata neno Rome was not built in one day hujui , sijui ulisoma shule gani wewe halafu unaye jifanya wa "mujini" wakati exposure yako na uelewa inaonekana bure kabisa na kama ya mtoto ambaye bado hajaweza kuona na kuelewa duniani.
In that context nani mtoto wa mama.
Au asiyejielewa.
Nyinyi ndio mnaokwenda nchi za nje ukiona burger, na Kahawa take away basi unajiona upo peponi wakati hiyo ni junk food.
Lakini kutokana na upunguani huelewi hilo.
 
Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.

Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Lisu ana magufuli phobia, hilo liko wazi.
 
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi

Wewe unayemsifia na kujikomba kwa Bwana wako magu Fool umelitaja mara ngapi ?? milioni au trilioni ??
 
Basi hapo ukajiona Bongeee la mjanja kuandika Magufuliphobia...

Kumbe ni BONGE LA KILAAAAAAAZA ,

Tutoleee Utahira wako hapa, kaa kimya kama hujui vitu.
 
Hapana, kama ni Magufuli-phobia itakuwa ni kwa ajili ya lile shambulizi na wala sio hiyo unayoita "Miradi".
 
Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.

Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Sijawahi kusikia hata siku Moja Magufuli akimtaja Lisu, ila Lisu anamtaja taja sana Magufuli anaujua mziki wa Magufuli vizuri
 
Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.

Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Wewe sema hujui na hii ndiyo shida ya kujibiwa na kianafunzi cha shule za kata
 
Back
Top Bottom