Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Wewe Lisu umemtaja mara ngapi?
 
Hahahaaaa hii kali
 
Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.

Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Mbona umepanic Sana!!!???
Hahahaaaa
Halafu unamwambia amekosea kulitumia Hilo neno na wewe unalitumia eti lisuphobia kweli huu NI wwhu was hali ya juuu
Na bado huyo Toto tundu wenu amedata Kwa kumuogopa magu
 
Miundombinu ya kiwango gani mtoto wa mama wewe? Umeshatembea hata nchi za jirani ukaona miundombinu au ushamba ndyo unakusumbua?
Sasa kama unakula na kulala kwa shemeji yako alikoolewa dadaako utaelewa miundombinu ni nini?

Hiyo ya huko kwa majirani unaiona kupitia kwenye video za youtube chanel ya Dimond!

Kiufupi wewe endelea kushabikia singeli tu.
 
Hivi Mandela aliwataja Makaburu mara millioni ngapi wakati wakijenga mabarabarana madaraja?
 
Ndiyo
Tunashukuru kwa ushamba wetu lakini miundo mbini ya kiwango ndio hiyo hiyo inawekwa na washamba sasa sijui hapo mshamba ni nani
tatizo la vitoto vinavyolelewa na shemeji.
 
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Hebu tudokeze kidogo umepiga kasi ya maendeleo kwa kutumia unit gani vile ?
 
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi

Na Jiwe yeye anaona hata haya kulitaja Jina Lissu.
The Guilty are Afraid...
 
[emoji23][emoji23] Mzee Wasira anaijua siasa vizuri sana, hayo ndo mambo napenda kusikia siyo kupigana virungu na wapinzani, siasa inakuwa tamu ikisikia vijembe kutoka kwa wakomavu kama mzee Wasira.
Chadema ni Shetani kwa CCM: MZEE WASIRA

Sikiliza maneno ya Mzee Steven Wassira utaelewa kwanini lazima CCM Mpya waitaje CHADEMA na CHADEMA wamtaje Magufuli kwa sababu CCM ni chama dola na siyo chama cha kisiasa hivyo CCM Mpya ndiyo Magufuli.

"Imamu au Mchungaji hawezi kumaliza ibada bila kumtaja shetani ambaye ndiyo mpizani wao" mwisho wa kumnukuu mzee Wasira.

Na katika siasa ni hivyo hivyo katika siasa za ushindani, siasa haikamiliki bila kumtaja mpinzani wako.
 
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.

Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku

Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho

Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Ndugu yangu, ushawasikia jamaa wa mboga mboga yani wanalitaja hilo jina zaidi neno Mungu, akiongea sentensi hajamaliza lazima hilo jina alitaje usimsakame lissu,
 
Back
Top Bottom