Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Tunashukuru kwa ushamba wetu lakini miundo mbini ya kiwango ndio hiyo hiyo inawekwa na washamba sasa sijui hapo mshamba ni naniTundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia. Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Miundombinu ya kiwango gani mtoto wa mama wewe? Umeshatembea hata nchi za jirani ukaona miundombinu au ushamba ndyo unakusumbua?Tunashukuru kwa ushamba wetu lakini miundo mbini ya kiwango ndio hiyo hiyo inawekwa na washamba sasa sijui hapo mshamba ni nani
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana
We ni hasara kwa familia yako na taifa kwa ujumla, pole yakoChadema ni Shetani kwa CCM: MZEE WASIRA
Sikiliza maneno ya Mzee Steven Wassira utaelewa kwanini lazima CCM Mpya waitaje CHADEMA na CHADEMA wamtaje Magufuli kwa sababu CCM ni chama dola na siyo chama cha kisiasa hivyo CCM Mpya ndiyo Magufuli.
"Imamu au Padri hawezi kumaliza sala bila kumtaja shetani ambaye ni mpizani wao" mwisho wa kumnukuu mzee Wasira.
Na katika siasa ni hivyo hivyo katika siasa za ushindani, siasa haikamiliki bila kumtaja mpinzani wako.
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.
Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku
Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho
Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Mkuu umekurupuka tu katika mada yako, pengine hujui mbinu za vita vya kibiashara ikiwemo siasa. Vita kati ya " market leader & market follower" huwa siku zote ni kubwa ili kuongeza "market share"Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.
Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku
Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho
Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Sasa wewe na akili zako za maziwa mdomoni unategemea uwe na miundo mbinu ya 1st world overnight ??Miundombinu ya kiwango gani mtoto wa mama wewe? Umeshatembea hata nchi za jirani ukaona miundombinu au ushamba ndyo unakusumbua?
Lisu ana magufuli phobia, hilo liko wazi.Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.
Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Tushatembea ndio, EA hakuna lami kama za TzMiundombinu ya kiwango gani mtoto wa mama wewe? Umeshatembea hata nchi za jirani ukaona miundombinu au ushamba ndyo unakusumbua?
Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara.
Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku
Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka anapoona hawezi kushawishi kitu hicho
Dawa ya Magufuliphobia kwa mgonjwa ni kumpa dozi ya kuleta maendeleo kwa kasi zaidi
Sijawahi kusikia hata siku Moja Magufuli akimtaja Lisu, ila Lisu anamtaja taja sana Magufuli anaujua mziki wa Magufuli vizuriTundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.
Analiogopa hilo jina kama ukoma. Hathubutu kulitaja hata mara moja. Achana na lugha za watu...hivi nyie washamba na limbukeni mna tatizo gani na lugha? Si ajabu hata lugha yako ya kuzaliwa huijui. Lissu hana tatizo kulitaja hilo jina na hiyo si phobia, tafuta mtu akupe neno sahihi.
Wewe sema hujui na hii ndiyo shida ya kujibiwa na kianafunzi cha shule za kataTundu Lissu anaumwa Magufuliphobia? Kwa sababu anamtajataja Magufuli? Dont be stupid, usitumie maneno usiyoyajua. Unajua phobia maana yake? Ngoja nikupe tu kamfano. Magufuli ndiye anaumwa ugonjwa wa Lissuphobia.