Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

Wewe Lisu umemtaja mara ngapi?
 
Hahahaaaa hii kali
 
Mbona umepanic Sana!!!???
Hahahaaaa
Halafu unamwambia amekosea kulitumia Hilo neno na wewe unalitumia eti lisuphobia kweli huu NI wwhu was hali ya juuu
Na bado huyo Toto tundu wenu amedata Kwa kumuogopa magu
 
Miundombinu ya kiwango gani mtoto wa mama wewe? Umeshatembea hata nchi za jirani ukaona miundombinu au ushamba ndyo unakusumbua?
Sasa kama unakula na kulala kwa shemeji yako alikoolewa dadaako utaelewa miundombinu ni nini?

Hiyo ya huko kwa majirani unaiona kupitia kwenye video za youtube chanel ya Dimond!

Kiufupi wewe endelea kushabikia singeli tu.
 
Hivi Mandela aliwataja Makaburu mara millioni ngapi wakati wakijenga mabarabarana madaraja?
 
Ndiyo
Tunashukuru kwa ushamba wetu lakini miundo mbini ya kiwango ndio hiyo hiyo inawekwa na washamba sasa sijui hapo mshamba ni nani
tatizo la vitoto vinavyolelewa na shemeji.
 
Hebu tudokeze kidogo umepiga kasi ya maendeleo kwa kutumia unit gani vile ?
 

Na Jiwe yeye anaona hata haya kulitaja Jina Lissu.
The Guilty are Afraid...
 
[emoji23][emoji23] Mzee Wasira anaijua siasa vizuri sana, hayo ndo mambo napenda kusikia siyo kupigana virungu na wapinzani, siasa inakuwa tamu ikisikia vijembe kutoka kwa wakomavu kama mzee Wasira.
 
Ndugu yangu, ushawasikia jamaa wa mboga mboga yani wanalitaja hilo jina zaidi neno Mungu, akiongea sentensi hajamaliza lazima hilo jina alitaje usimsakame lissu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…