Tundu Lissu anayeshambulia Serikali worldwide kwanini bunge linamjibu countrywide? Hatuwezi kufika huko duniani kumjibu!

Tundu Lissu anayeshambulia Serikali worldwide kwanini bunge linamjibu countrywide? Hatuwezi kufika huko duniani kumjibu!

Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!

Mna kichwa gani huko CCM cha kuweza jibu au shiriki vipindi kama hard talk? Nyote ni makasuku mnaoropoka vya kumezeshwa!! Kama mkuu wenu wa Jela anatamka intapretenyuaa atweza lingua ya huko Mbele? No wonder ni mtupu sana kichwani kiasi cha kujiita kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka waende huko ili wakaumbuke Mara 1000!!

Maswali ni magumu kujibika!!
mfano :
kwann mlikubali kuwa na mfumo wa vyama vingi?

kwann mnawaona wapinzan ni maadui wa maendeleo.

ina maana tanzania ilianzisha vikundi vya kuihujumu nchi kwa makusudi?

kama sivyo hivyo kwann rais anasema atahakikisha anaua vyama vya upinzani??

tundu lissu anasema serikali ndio iliyohusika nyie mnakataa kwann mnakataa ili hali rais alisema ni msaliti na msaliti dawa yake inajulikana?? dawa hiyo ni ipi ambayo wanajeshi huitumia kwa msaliti wa jeshi vitani??

mnasema sio nyie je mko tayar kuwaweka hadharani askari waliokua lindo siku ya tukio lakn wakapisha lindo ili shambulio litekelezwe??

kama sio nyie mmewafanya nn wale askali walioshindwa kulinda lindo lao?

kama nyie hamhusiki ilikuaje wale wote waliokua wanamwomboa mliwakamata ,
waliovaa tirshet za kumwombea na waujazi walikua kwenye taget ya vyombo vya usalama kwa kuhofia nini.

lissu mmemuweka kwenye kundi la wasaliti hebu twambie kasaliti nn mpaka sasa.

yapo mengi si serikali wala ccm inayoweza kujibu
 
BBC na CNN si Tibiisiii yetu, kule mpaka upate Mwaliko.....,
Je mwenye hizo sifa za kualikwa ni yupi kati ya uliowataja ktk Hoja [emoji115] [emoji115] yako Fikirishi.

Tusubiri tuone kama watafanya hivyo.

[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu kule huwezi enda kuimba nyimbo Za SGR na ndege maana jiwe hana kingine zaidi ya hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatamani kweli waende huko ughaibuni wakamjibu lissu , tatizo wote hao lugha haipandi ,kuanzia jiwe ,polepole ,Bashite Jeri muro ,Mnyeti ,Lemutuzi na Ndugai .
 
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Acha ushamba wako toka kolomije na chato wewe Tundu Lisu anapata umaarufu wa bure kivipi? Ulipoenda Dodoma na kikundi cha Bashite kumpiga Risasi ulitegemea nini? Sababu ya msingi hujaiona? Kupigwa Risasi siyo sababu ya msingi? Kuwabambikia kesi, kuwapora Ushindi kwenye chaguzi mbalimbali kuwanyanyasa Wapinzani sio sababu za msingi? wewe ni mbumbumbu hujielewi peleka ujinga wako kwa vilaza wenzako huko naona umeamua kumpigia Debe Mayala paskal kisayansi pia tambua kuwa msemaji wa Serikali na polepole hawajui kingereza wakienda huko CNN, BBC watatia Aibu kubwa hasa ukizingatia kuwa anayoyasema Tundu Lisu ni ya Ukweli mtupu.
 
BBC na CNN si Tibiisiii yetu, kule mpaka upate Mwaliko.....,
Je mwenye hizo sifa za kualikwa ni yupi kati ya uliowataja ktk Hoja [emoji115] [emoji115] yako Fikirishi.

Tusubiri tuone kama watafanya hivyo.

[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Msemaji wa Serikali ni PhD feki na polepole hajielewi ni vigumu waalikwe huko pia wanajua hao watu ni waumini wa udikteta hawataki kuwasikia
 
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Aaahahahaaaa KUJIBU TUNATAKA SANA MKUU SHIDA NI KUPATA KIPINDI PALE HARDTALK HAWAKUBALI MJINGA AONGEE PALE ATASHUSHA HADHI YA KILE KIPINDI. MY TAKE.
 
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo. ...... . Omba vipindi ughaibuni ujibu kwa niaba!!!!

Jr[emoji769]
Hahahaa....... Ndio maana nimempendekeza Pascal.

Wewe tutakupendekeza ukamtoe yule bundi bungeni kama bado yupo!
 
Aaahahahaaaa KUJIBU TUNATAKA SANA MKUU SHIDA NI KUPATA KIPINDI PALE HARDTALK HAWAKUBALI MJINGA AONGEE PALE ATASHUSHA HADHI YA KILE KIPINDI. MY TAKE.

itokee bahati wamwalike mtukufu malaika toka chato au Naibu Rais ndugu Daud Arbaty Bashite sijui wataambatana na mkalimani au watagoma kwenda?
 
Mkuu kwenye Media za Kimataifa hoja za Lissu hazijibiki, wacha tu tuhangaike naye hapa hapa kwetu kwa kutumia hizi media zetu, tuna imani nazo na madamu wananchi wanatusikia basi sawa!!
 
Hahahaa....... Ndio maana nimempendekeza Pascal.

Wewe tutakupendekeza ukamtoe yule bundi bungeni kama bado yupo!

Tatizo CCM walimpa tenda ya utetezi mitandaoni Le mutuz akala pesa zote na michepuko ndipo akaokoteza vijana wajinga wajinga vilaza akawaajiri kuwa watetezi wa CCM ndiyo maana utetezi wa CCM ni wa kishamba kama Akili ndogo za Le mutuz ambaye huwakaririsha ujinga wake badala ya kuwaacha watumie akili zao.
 
Le mutuz alichemka sana wakati anagombea ubunge wa EALA!

Le mutuz kwa sasa ndiyo Dalali mkuu wa siasa CCM na pia ni kuadi wa waganga wa kienyeji huku akijidai kuwa ndiyo mkalimani wa CCM wa kienyeji asiye rasmi, kwa kweli CCM wanapigwa pesa nyingi na Le mutuz kwa kazi za hovyo hovyo zisizo na Tija kwa Taifa wala CCM yenyewe.
 
Back
Top Bottom