Tundu Lissu anayeshambulia Serikali worldwide kwanini bunge linamjibu countrywide? Hatuwezi kufika huko duniani kumjibu!

Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Hata na wewe umeanzisha uzi kwa ajili ya Lissu. Damu ya Lissu itawatesa sana mpaka siku mnaingia kaburini wauaji wakubwa nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm msipoteze muda kunjadili Lissu hoja zake azijibiki hata mkimtuma nani cha msingu kuna ahadi nyingi mliahadi kwenye kampein zenu namuda umeyoyoma bilabila nawashauri mzitimize kabla ya 2020 Lissu kuja kukinukisha, Tunangoja Tanzania ya widanda kama Canada na uchumi wakati kama mlivyo tuahidi haya ya Lissu waachie wanajua kidhungu
 
Shida kadanganyika hii imekuwa ya wapiga dili, wanawaza matumbo yao tu, mtukufu anko anaona kubaki mtaani na ku oppress watu ndio uongozi, Kiki nyingi hadi anakosa direction. Ndivyo inavyotokea kwenye msafara wa nyumbu akitokea Simba mmoja msafara mzima unahaha. Ndio madhara ya akili ndogo kutawala akili kubwa.
 
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
nafsi zinawasuta, wanajua dhambi yao, so hawawezi kujibu wala kujibizana na Lisu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mleta mada kuna wengi wameshindwa kumsoma nyuma ya pazia, niwakumbushe tuu huyu ni mtu wa lissu. ila anawananga wabaya wa Lissu kwamba badala ya kujibu hoja za Lissu wao wanamtishia. waende huko ughaibuni wakajibu hoja kama kweli hawahusiku au ni watenda mema. jambo ambalo kamwe hawawezi
 
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!
Nilikuwa Jana nasoma ratiba ya lisu huko nje nimeogopa sna,kinachonitisha zaidi ni baadhi ya watu atakaokutana nao ukiacha media atakazo tumia, ujeruman atakutana na mabalozi wa EU ,na maofisa wa bunge , marekani atakutana Hadi na maofisa wa Mambo ya nje ,hii imenishtua sana.hapo sjataja na wengine nyeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye akili wanaangalia ufanisi, sio kubwabwaja tu kama kupiga risasi hewani. Hit the target direct, that is economic bro. Mwache apayuke huko but target yenye ufanisi na faida ni wananchi wa Tanzania pekee
Moja wananchi wa Tanzania ni wale wanao isha Tanzania ndo unavyomanisha? Pili unaamini siasa zetu na chaguzi zetu zinawahusu na kuamuliwa na watanzania tu? Am so sorry for you dude
 
nilishauri hili kwenye uzi wangu huko nyuma, tundu lissu asinyamaziwe ajibiwe kisiasa na kitaaluma naamini atanyamaza na kuwa na hofu na anayoyafanya.

Narudia tena njia anayotumia Tundu Lissu itumike hiyo hiyo na ikiwezekana waende mbali zaidi ya anapoenda tundu lissu.

kuna wanaCCM wenye uwezo mkubwa sana wa kumjibu tundu lissu na atajibiwa asiamini hilo. Kuna watu kama mkuu wa wilaya wa Tanga, ukimsikiliza uwezo wake wa kujenga hoja na kuitetea ni mkubwa sana kuweza kumjibu lissu
 
Pole pole na mwenyekiti level yao ni TBC,endelea kupanga safu mkuu.but kumbuka kuitetea Serikali hii ya awamu ya tano unahitaji kuwa na akili ya maiti otherwise utakutana na aibu ya mwaka
 
Nimeshangazwa na namna Tundu Lisu anavyopewa umaarufu wa bure bila sababu za msingi. Wakati Lisu akitumia vyombo vikubwa vya habari duniani kuinanga serikali na bunge lake, bunge linatumia TBC kumjibu, tena wala hawatumii extenal service kama ipo.

Najiuliza tu kama msemaji wa bunge au serikali hawawezi kumpinga na kumshushua Tundu Lisu kwa kutumia media za kimataifa.
Ingependeza hata kumuona msemaji wa CCM ndugu Polepole kwenda pale BBC au CNN kuweka mambo sawa dunia ijue ukweli.

Lakini yupo mwanaccm nguli ambaye ana uzoefu kidogo na hizo International media ndugu yetu Pascal Mayalla, katika hili nadhani angeweza kusaidia.
Cha msingi Tundu Lisu ni lazima ajibiwe kwa njia ile ile anayoipitia kushambulia na siyo hadi tumsubiri Salary slip atuletee mashambulizi hayo kwa tafsir ya kiswahilii ndio tukurupuke kumjibu.........Ndio sababu tunanukuliwa vibaya.

Niwatakie Ijumaa njema
Maendeleo hayana vyama!

Hao BBC na CNN unadhani wanampenda Lissu Au wanatumwa na mazingira ya mabeberu wanaosaka vitu wasivyovipata. Jifunzeni Hakuna taifa linalohangaika na taifa lisilo na faida kiuchumi. Iwe kwa Serikali Au walipa kodi wake wakubwa. Kwa Lugha nyepesi huyu mnayemwita msomi Lissu anatumika wazi wazi na jiulize Sasa kwa faida ya nani. Zamani ningehisi hamuelewi. Ila sasa na wasiwasi wa akili. Siasa ni siasa lakini mtu mzima mwenye akili hawezi kuleta ushabiki katika Identity yake. Ndo Mana ndani ya ndoa huwezi Kuta mke Au mume wanaomba air Time kutangaza uwingi Wa maji Au ukibamia wa Mwenza eti apate amani. Huruma sana.
 
Kama mngezijibu hoja zake kisomi badala ya kukimbilia AK47 mnadhani angesema anayoyasema sasa. Mnavuna mlichopanda,ugaidi haulipi hata siku moja.
 
Back
Top Bottom