GE2025 Tundu Lissu: Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa!

GE2025 Tundu Lissu: Anzeni kuandaa submission za no case to answer, hakuna kesi hapa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tarehe 09 October 2025 Wanachama wa CHADEMA dada Frida, Ernest Mgawe na Kiduku Chuwa kupitia hati ya dharura ya Habeas corpus wameachiwa kushikiliwa na polisi kisha kupewa dhamana

Hapo awali :

UPDATES KUKAMATWA KWA MH. ERNEST MGAWE​

Serikali ya Samia Suluhu Hassan imeachanganyikiwa Imagine wamemkamta Mwenyekiti wetu wa Jimbo la Kibamba Ernest Mgawe wanamtuhumu kwamba yeye ndo anahamasisha Maandamano kwenye vituo vya mabasi ya Mwemdokasi jijini Dar es Salaam.

Kwamba rais Samia Suluhu Hassan na Jeshi lake la Polisi wanashindwa kutambua kwamba sasa hivi Watanzania wameamka hawahitaji kuhamasishwa mateso pekee ambayo wanapata kutoka kwenye Utawala huu ni Hamasa Tosha.

Mnachukua nauli za watu kwenye Mwendokosi halafu mtu anakaa kituoni 6hrs hakuna gari na nauli ikilipwa hairudishwi halafu mnataka watu watulie hivi mnajua pesa ilivokuwa ngumu miaka hii?

Halafu hapo hapo Wananchi wanaona mtoto wa Samia Suluhu Hassan anatembelea magari ya Mabilioni ya pesa halafu bado hamuoni kwamba matendo yenu kufisadi nchi ndo yanatuhamasisha kufanya yote haya?

Halafu hapa mbona bado yani mpaka kufika Oktoba 29 2025 hakuna rangi mtaacha kuona

Acheni ujinga mwachieni Mgawe maana hakuna kosa lolote ambalo amefanya.
Source : mtandao wa instagram / X twitter
 
Back
Top Bottom