Tundu Lissu anzisha chama tukuunge mkono

nyonyodawa

Member
Joined
Nov 11, 2024
Posts
42
Reaction score
133
Naandika kwa masikitiko makubwa sana kutoka moyoni mwangu,naamini baadhi ya Viongozi wa Chadema kwa makusudi wamekubali kutapeliwa na wametapelika dhidi ya matapeli wa CCM

Hii inadhihilisha ni jinsi gani wako kimaslai zaidi kuliko kuwa kalibu na wananchi wao, waliokipenda chama kwa moyo mmoja

Sasa cha kufanya Tundu Lissu huu ni mda muafaka wa kujitoa Chadema na kuunda chama chako,utaondoka na wafuasi wote wa Chadema na wangine watatoka CCM

Tumechokwa kukatishwa matumaini yetu na ahadi za uongo
 
Mara Mbowe aondoke, mara Mbowe ameshika wadhifa muda mrefu ....sasa mmeona hotuba ya Lisu as if anamlaumu Mbowe, you are banking on that! hakuna kitu kama hcho, mtasubii sana.... Utamuunga mkono na fake ID? weka utambulisho wako tukuunge mkono na Lisu
 
Back
Top Bottom