Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,530
- 1,903
Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku.
Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya utawala wa CCM na serikali yake , ambae ni mkoloni mweusi.
Ninaomba watanzania wote wenye moyo wa kizalendo, bila kujali dini ,itikadi, kabila, kanda, tumwombeee sana huyu mbeba ajenda za kitaifa Tundu antipas Lisu, tumwongezee ulinzi wa kiroho.
Mungu anampango na taifa hili la Tanzania, lilojaa tele utajiri wa kutupwa, madini, misitu,mito, maziwa, milima, mabonde, bahari, mabwawa, wanyama, aridhi yenye rutuba, cha ajabu na cha kushangaza sana watanzania tangu uhuru 1961 mpaka leo hii wanaishi maisha ya ufukara mkubwa sana kwa sababu ya kukosa viongozi wazalendo, kukosa viongozi wadirifu, kukosa viongozi wenye maono, ndani ya serikali ya CCM, kwa mda zaidi ya miaka 60. Taifa limekuwa shamba la bibi.
Mwaka huu 2025 Mungu ametuletea huyu mwamba, tumwombeee sana, I'li Mungu atimize maono yake kupitia yeye.
Watanzania wazalendo tumuunge mkono, kwa pamoja, kwa uchache, mh, Warioba, mh,Ndugai, askofu Bagonza, Askofu Mwamakula, Askofu, Gwajima, Mpina, Msukuma, na wengine wote walichoka na mfumo wa serikali ya CCM tuungane kwa pamoja I'li tumpe nguvu Tundu Lisu.
Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.