Tundu Lissu aongezewe ulinzi wa kiroho, ni mbeba ajenda za Taifa letu pendwa la Tanzania

Tundu Lissu aongezewe ulinzi wa kiroho, ni mbeba ajenda za Taifa letu pendwa la Tanzania

Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku.

Leo Tundu Lisu ameuthibitishia uma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuwa yeye yupo serious katika kuleta ukombozi wa mara ya pili dhidi ya utawala wa CCM na serikali yake , ambae ni mkoloni mweusi.

Ninaomba watanzania wote wenye moyo wa kizalendo, bila kujali dini ,itikadi, kabila, kanda, tumwombeee sana huyu mbeba ajenda za kitaifa Tundu antipas Lisu, tumwongezee ulinzi wa kiroho.

Mungu anampango na taifa hili la Tanzania, lilojaa tele utajiri wa kutupwa, madini, misitu,mito, maziwa, milima, mabonde, bahari, mabwawa, wanyama, aridhi yenye rutuba, cha ajabu na cha kushangaza sana watanzania tangu uhuru 1961 mpaka leo hii wanaishi maisha ya ufukara mkubwa sana kwa sababu ya kukosa viongozi wazalendo, kukosa viongozi wadirifu, kukosa viongozi wenye maono, ndani ya serikali ya CCM, kwa mda zaidi ya miaka 60. Taifa limekuwa shamba la bibi.

Mwaka huu 2025 Mungu ametuletea huyukwa mwamba, tumwombeee sana, I'li Mungu atimize maono yake kupitia yeye.

Watanzania wazalendo tumuunge mkono, kwa pamoja, kwa uchache, mh, Warioba, mh,Ndugai, askofu Bagonza, Askofu Mwamakula, Askofu, Gwajima, Mpina, Msukuma, na wengine wote walichoka na mfumo wa serikali ya CCM tuungane kwa pamoja I'li tumpe nguvu Tundu Lisu.

Mungu ibariki Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kwa maandishi kama haya ndio unataka kumuona Raisi?
 
Ni kweli kabisa .

Pia vyombo vya dora viwaambie wahuni ndani ya serikali ya CCM kuwa havipo tayari kutumika kuua watanzania kwa sababu ya uchafuzi wa kuwanufaisha watu wasiotosheka na mali za kifisadi.


Jeuri ya CCM ni kuamini kuwa watatumia dola kuua watu .
Siku zote Jeuri ya Shetani ni kuua . Ndio maana Masihi Yeshua alimnyanganya Shetani funguo za kuzimu na mauti .

CCM haina tofauti na Shetani maana wamejawa na kiburi cha uhai na mali . Wanatumia Machawa wao wachache waliowapa vyeo ndani ya mifumo ya dora kuua na kutisha watu ili kuwatia hofu kwa lengo la kulinda ufisadi wa watu wachache ndani ya serikali.


Kwa nini CCM hawakubali kusogeza muda wa uchaguzi mbele ili kufanya marekebisho ya Kikatiba na tume.?

Je,vyombo vya dola vinanufaika nini kuua wapinzani kupitia mfumo mbaya wa uchaguzi unaofanya uchaguzi kuwa kama vita mpaka vijijini kwa sababu tu CCM hautaki kushindwa ?

Yaani Samia na watu wake wametoa pesa na rushwa nchi nzima ili abaki madarakani halafu akiambiwa aendelee bila kupoteza pesa za umma kwa uchaguzi feki hataki ?
Je,anataka kubaki ili alrithishe mkwe wake nchi au anataka kuwanufaisha akina nani?

Je,ni kweli vyombo vya dola ikiwemo jeshi la wananchi hawajaona mapungufu yanayowapa shida wakati wa kusimamia uchaguzi na jinsi wanavyokosa nguvu ya kuwa mbali na sanduku la kupiga kura ?
Je ,vyombo vya usalama vinanufaikaje na wizi wa kura wakati kura ni kwa ajili ya kupata wawakilishi wa wananchi kisiasa na sio kijeshi?
Nini agenda iliyopo nyuma ya kundi au genge la matajiri wa kiarabu waliopewa rasilimali za nchi ikiwemo Bandari ambayo hata jeshi lingeweza kuisimamia na kulinda mipaka ya nchi yetu!?
Ni vipi wanajeshi wananufaika na kuuza madini kwa wazungu wakati jeshi letu linauwezo wa kusimamia akiba yetu ya asili na pia misitu na viwanja vyetu vya ndege ?

Je,vyómbo vya usalama hawaoni mapungufu ya kiusalama yanayotokana na kuuza bandari ,misitu,mbuga za wanyama, viwanja vya ndege ,ardhi kubwa kukopa na kupokea mapesa ya rushwa za uchaguzi ?
Je,vyombo vya usalama hawaoni kuwa usalama wa nchi unahatarishwa na mifumo inayotumia rushwa ,kujilimbikizia mali na madeni na kudharau sanduku la kura linalowapa fursa wananchi kuchagua wawakilishi wao?

Hi kwa mfano Suala la maslahi ya Wastaafu ndani ya vyombo vya polisi ,Magereza na Jeshi la Wananchi linavyopuuzwa na Wabunge na mawaziri wa CCM hawaoni kuwa ni kwa sababu ya kukosekana kwa ushindani wa kisiasa kuanzia ndani ya CCM na nje na kujenga dharau kuwa hata wafanyeje tutashinda navkuendele kukaa madarakani ?
Je,future ya vizazi vya watanzania mil.65 itakua salama kwa kuendekeza rushwa na kuvuruga uchaguzi kwa manufaa ya kakundi kadogo kasiko jali mtu yeyote hata maoni ya Watu na chama kikubwa kama ACT na Chadema?

Kwa nini wasifanye utafiti wa kujua kwa ni wananchi wangapi wasiotaka mfumo wa uchaguzi wa kuiba kura ili kuepusha kuua watu na kupiga watu ili waishauri serikali kuwa kwa hali hii ni bora kuahirisha uchaguzi hata kwa miaka mitatu mbele ili kujenga usalama wa nchi?

Kuna faida gani kumweka Samia madarakani kwa kuua watu halafu baada ya miaka mitano yeye anaondoka na mabilioni ya pesa huku akiwa ameacha taifa la watu wenye chuki na visasi badala ya furaha ?

Viongozi wa dini hubirini habari za haki na kupinga rushwa mbele ya vyombo vya dola na tume iache kiburi cha uhai maana Mungu hapendezwi na dhulma ?
Ndani vya vyombo vya dola wapo pia waumini maana tunawaona walifunga ramadhani na hata kwaresma hivyo waone kila sababu ya kuepuka kutumiwa na mafisadi ambao ni mafreemason yaliyoamua kumwabudu shetani kwa damu za watu wasio na hatia na wapigania haki na ukweli kwa kupinga ufisadi na uhuni wa watawala ndani na nje ya CCM.
 
Back
Top Bottom