Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Tunamuhitaji Lisu kuliko kitu chochote na tuna Imani atashinda na kutuondolea hawa matapeli.wakuu leo nimekutana na wenje hapa jijini mwanza aisee kama sio clip ambazo alikuwa anajibu tuhuma nisingeweza kumfahamu amebadilika saana sio mwenzetu tena.tutafute hela. Gari analoendesha ni,V8 Kodi zenu.
 
Usilojua ni kwamba mitandao siyo wajumbe 1,200 wa mkutano mkuu
Hapo wasemaje kiongozi
Mnaleta zereu kwa wananchi aya kwenye uchaguzi wa taifa wajumbe ndo watawapigia kura waliopo kwenye mitandao wanaishi wapi? au unajua wanaishi kwenye mitandao?
 
Ondoa hofu, hao wanaoelekeza toka juu hawatapiga kura wala kusimamia uchaguzi, wakati wanatoa hayo maelekezo hawakujua kama hila zao zitagundulika. Lissu atashinda kwa kishindo.

Kura ni za siri, ukila pesa ya mgombea ukamnyima kura hawezi kuja kukudai pesa yake.
TAL katoa tahadhari pia..
 
Mnaleta zereu kwa wananchi aya kwenye uchaguzi wa taifa wajumbe ndo watawapigia kura waliopo kwenye mitandao wanaishi wapi? au unajua wanaishi kwenye mitandao?

Hoja mezani ni uongozi wa chama kitaifa

Haya uchaguzi wa serikali za mtaa uliopita walifanya nini hao wananchi???
 
Kwani huyo Mbowe anataka awe Mwenyekiti mpaka miaka mingapi!!?

Yeye awe mlezi tu wa chama kama alivyoachiwa na wengine.
 
View attachment 3183324

Kwa mujibu wa kura za maoni zilizo fanywa na Jambo online TV matokeo yapo hiv:

Watoa maoni: 12,148

Tundu Lissu kapata kura 10,204 sawa na 84%

Freeman Mbowe kapata kura 1,944 sawa na 16%.

Haya ni maoni ya watanzania walio nje ya mfumo wa Chadema. Wajumbe wa mkutano mkuu wana nafasi ya kuyakubali au kuyakataa.
Ndivyo kura za mitandaoni zinavyodanganya. Unakumbuka kura za Trump mitandaoni?
 
Back
Top Bottom