Tundu Lissu aongoza kura za mtandaoni dhidi ya Mbowe kwa kura asilimia 84 dhidi ya 16

Tunamuhitaji Lisu kuliko kitu chochote na tuna Imani atashinda na kutuondolea hawa matapeli.wakuu leo nimekutana na wenje hapa jijini mwanza aisee kama sio clip ambazo alikuwa anajibu tuhuma nisingeweza kumfahamu amebadilika saana sio mwenzetu tena.tutafute hela. Gari analoendesha ni,V8 Kodi zenu.
 
Usilojua ni kwamba mitandao siyo wajumbe 1,200 wa mkutano mkuu
Hapo wasemaje kiongozi
Mnaleta zereu kwa wananchi aya kwenye uchaguzi wa taifa wajumbe ndo watawapigia kura waliopo kwenye mitandao wanaishi wapi? au unajua wanaishi kwenye mitandao?
 
TAL katoa tahadhari pia..
 
Mnaleta zereu kwa wananchi aya kwenye uchaguzi wa taifa wajumbe ndo watawapigia kura waliopo kwenye mitandao wanaishi wapi? au unajua wanaishi kwenye mitandao?

Hoja mezani ni uongozi wa chama kitaifa

Haya uchaguzi wa serikali za mtaa uliopita walifanya nini hao wananchi???
 
Kwani huyo Mbowe anataka awe Mwenyekiti mpaka miaka mingapi!!?

Yeye awe mlezi tu wa chama kama alivyoachiwa na wengine.
 
Ndivyo kura za mitandaoni zinavyodanganya. Unakumbuka kura za Trump mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…