Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wao yawezekana wanapewa amri,tambua IGP,yaani mkuu wa askari polisi NCHI NZUMA ya TANZANIA,anateuliwa na RAIS ambaye ni MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI,na hao wapinzani wanaonyesha mwelekeo wa kuharibu UCHAGUZI ambao huwa SIYO HURU,ambapo MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI anateuliwa na MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI,ambaye pia ni RAIS wa nchi,unategemea nini?Hii kazi ya kunyanyasa/kuwatesa/ kuwapiga/kuwaua wapinzani policcm huwa wanaipenda zaidi kuliko hata ile kazi yao ya msingi ya kulinda raia na mali zao.
Kumbe jana Walimwacha apumzike.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam.
Lissu anayedaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma jana Jumatano Aprili 9, 2025 muda mchache baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Mbinga mkoani Ruvuma.
Wakati Lissu akidaiwa kuendelea kushikiliwa na polisi, huku wenzake watatu wakiwemo walinzi wake na kada mmoja wa chama hicho, Shija Shebeshi wameachiwa huru.
Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Aprili 10, 2025 Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia amesema safari ya Lissu kusafirishwa kupelekwa jijini Dar es Salaam ilianza jana jioni baada ya kukamatwa na kupelekwa kituoni.
Hata hivyo, hadi sasa bado haijafahamika chanzo cha Lissu kushikiliwa na Polisi, ingawa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya aliliambia Mwananchi yupo katika ufuatiliaji kuthibitisha kuwepo kwa taarifa hizo.
Jitihada za Mwananchi kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya au Msemaji wa Polisi zinaendelea.
Chanzo: Mwananchi
😅😅😅Kuna kipindi Yesu alikamatwa hata Pilato akawa hajui kwanini Yesu amekamatwa.Hata hivyo, hadi sasa bado haijafahamika chanzo cha Lissu kushikiliwa na Polisi, ingawa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya aliliambia Mwananchi yupo katika ufuatiliaji kuthibitisha kuwepo kwa taarifa hizo.
😅😅😅Kuna kipindi Yesu alikamatwa hata Pilato akawa hajui kwanini Yesu amekamatwa.
Akanawa mikono
No reforms No ection ipo pale paleChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu anayeshikiliwa na polisi mkoani Ruvuma yupo njiani kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam.
Lissu anayedaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma jana Jumatano Aprili 9, 2025 muda mchache baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Mbinga mkoani Ruvuma.
Wakati Lissu akidaiwa kuendelea kushikiliwa na polisi, huku wenzake watatu wakiwemo walinzi wake na kada mmoja wa chama hicho, Shija Shebeshi wameachiwa huru.
Akizungumza na Mwananchi leo Alhamisi Aprili 10, 2025 Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Brenda Rupia amesema safari ya Lissu kusafirishwa kupelekwa jijini Dar es Salaam ilianza jana jioni baada ya kukamatwa na kupelekwa kituoni.
Hata hivyo, hadi sasa bado haijafahamika chanzo cha Lissu kushikiliwa na Polisi, ingawa jana Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya aliliambia Mwananchi yupo katika ufuatiliaji kuthibitisha kuwepo kwa taarifa hizo.
Jitihada za Mwananchi kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chilya au Msemaji wa Polisi zinaendelea.
Chanzo: Mwananchi
Ni kweli na hata ukimkamata utashindwa tu at the endNdiyo maana Yesu si Mungu kwani Mungu huwezi kumkamata
Wao yawezekana wanapewa amri,tambua IGP,yaani mkuu wa askari polisi NCHI NZUMA ya TANZANIA,anateuliwa na RAIS ambaye ni MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI NCHINI,na hao wapinzani wanaonyesha mwelekeo wa kuharibu UCHAGUZI ambao huwa SIYO HURU,ambapo MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI anateuliwa na MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI,ambaye pia ni RAIS wa nchi,unategemea nini?
DuuhNchimbi anaanza kuchemka , mwaka huu kazi ipo kwa kiumbe huyu. Uchafuzi utapamba moto chini ya Nchimbi
Huyo ndo mafia hatari ila kwa nje unamuona mkimyaNchimbi anaanza kuchemka , mwaka huu kazi ipo kwa kiumbe huyu. Uchafuzi utapamba moto chini ya Nchimbi
huku wenzake watatu wakiwemo walinzi wake na kada mmoja wa chama hicho, Shija Shebeshi wameachiwa huru.
Kweli unamjua Nchimbi, huyo ndiye CobraHuyo ndo mafia hatari ila kwa nje unamuona mkimya
Ni kweli na hata ukimkamata utashindwa tu at the end
🤣🤣Ndiyo maana Yesu si Mungu kwani Mungu huwezi kumkamata