Tundu Lissu asema 4R za Rais Samia ni Uongo

Tundu Lissu asema 4R za Rais Samia ni Uongo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Akizungumza baada ya kuwasili nchini leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R kinachonadiwa na Rais Samia na wapambe wake ni uongo mtupu.

Hakuna cha 4R wala nini.

Ujumbe wake huu hapa

Soma Pia: Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2024

Screenshot_2024-09-11-10-37-25-1.png
Screenshot_2024-09-11-10-37-50-1.png

Toa Maoni yako
 
Akizungumza baada ya kuwasili Nchini leo, Amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R Kinachonadiwa na Rais Samia na Wapambe Wake ni uongo mtupu, Hakuna cha 4R wala nini.

Ujumbe wake huu hapa

View attachment 3093088View attachment 3093090

Toa Maoni yako
Mama ndio anaandaa meza mbele za watekaji wetu, tena Ana wasevu hadi divai.
Yule Polisi aliyewateka wale makomandoo wa CHADEMA akawa promoted kuwa mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai.

Mama ni mratibu wa huu uovu wote

Akizungumza baada ya kuwasili Nchini leo, Amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R Kinachonadiwa na Rais Samia na Wapambe Wake ni uongo mtupu, Hakuna cha 4R wala nini.

Ujumbe wake huu hapa

View attachment 3093088View attachment 3093090

Toa Maoni yako
Ukombozi wa wa-Tanzania na hatma ya wa-Tanzania ipo mikononi mwao wenyewe, wala haipo Marekani au kwingineko kokote kule.
 
unezitaja hizo 4r ili kuweza kupata majibu kama ni kweli au la! alilolisema mheshimiwa lissu
 
Back
Top Bottom