Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huko Urusi na Ukraine, bado ukombozi wa kila nchi upo mikononi mwa Wananchi wa nchi husika.Fuatilia vita vya Urusi na Ukraine halafu urudi tena
Ukraine hawakua ma keyboard warriorsFuatilia vita vya Urusi na Ukraine halafu urudi tena
Hujatofautiana na mimi hata chembeHata huko Urusi na Ukraine, bado ukombozi wa kila nchi upo mikononi mwa Wananchi wa nchi husika.
Licha ya kupewa misaada mingi ya silaha, bado Wananchi wa nchi husika ndio wanaotakiwa kwenda Kupigana Vita katika uwanja wa vita
Yuko sahihiLissu anasema kuwa 4r zilikuwa ni uongo leo na uongo kesho. Je ni kweli yuko sahihi?