Tundu Lissu asema 4R za Rais Samia ni Uongo

Akizungumza baada ya kuwasili Nchini leo, Amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R Kinachonadiwa na Rais Samia na Wapambe Wake ni uongo mtupu, Hakuna cha 4R wala nini.

Ujumbe wake huu hapa

View attachment 3093088View attachment 3093090

Toa Maoni yako
Mama ndio anaandaa meza mbele za watekaji wetu, tena Ana wasevu hadi divai.
Yule Polisi aliyewateka wale makomandoo wa CHADEMA akawa promoted kuwa mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai.

Mama ni mratibu wa huu uovu wote

Akizungumza baada ya kuwasili Nchini leo, Amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R Kinachonadiwa na Rais Samia na Wapambe Wake ni uongo mtupu, Hakuna cha 4R wala nini.

Ujumbe wake huu hapa

View attachment 3093088View attachment 3093090

Toa Maoni yako
Ukombozi wa wa-Tanzania na hatma ya wa-Tanzania ipo mikononi mwao wenyewe, wala haipo Marekani au kwingineko kokote kule.
 
Lissu anasema kuwa 4r zilikuwa ni uongo leo na uongo kesho. Je ni kweli yuko sahihi?
 
unezitaja hizo 4r ili kuweza kupata majibu kama ni kweli au la! alilolisema mheshimiwa lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…