Tundu Lissu asigombee tena Urais, aende bungeni akatusaidie kutafsiri sheria!

Tundu Lissu asigombee tena Urais, aende bungeni akatusaidie kutafsiri sheria!

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Kwa sasa vyama vya siasa vinatakiwa kuelekeza nguvu zao bungeni sio kung'ang'ania kwenda Ikulu. Huko hakufikiki kama hatujawekeza nguvu zetu kukamata majimbo, Tundu Lissu aachane na mambo ya urais kwa sasa aelekeze nguvu zake bungeni.
 
Kwa uchaguzi gani wa tume na katiba hii ya sasa? Au ule uchaguzi wa kutembea na mabegi ya makarati yaliyokwisha kupigiwa kura nyumbani?

N'way uchaguzi mbovu uliopita wa mwaka 2020 ulivuruga sana ngome nyingi za upinzani, wanahitaji kujipanga sana upya.
 
Back
Top Bottom