Kwa uchaguzi gani wa tume na katiba hii ya sasa? Au ule uchaguzi wa kutembea na mabegi ya makarati yaliyokwisha kupigiwa kura nyumbani?
N'way uchaguzi mbovu uliopita wa mwaka 2020 ulivuruga sana ngome nyingi za upinzani, wanahitaji kujipanga sana upya.