Tundu Lissu asipokuwa Rais nitahama nchi

Mambo ya Lisu kushinda kiti cha urais ni kudanganyana ata yeye Lisu sio mpuuzi wa kutokutambua ilo, Changamoto ya Chadema ni viti vya ubunge je! Vitafika kumi? Baada ya uchaguzi chadema watasema wameibiwa kura, ilo ni jambo la kawaida.
 
Toa address yako ukionekana kuchelewa kuhama tukuhamishe kwa nguvu.
 
Nahamia Jupiter Mimi.

Anashinda 90%
 
Hakika Lissu ameshinda tayari ila tu tunapaswa kulinda ushindi wetu la sivyo tutaibiwa mchana kweupe. Magu ameshaapa kushinda hata kama watu hawatampigia kura, hii ina maana kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…