Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya Tanzania , huku akiahidi KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA NCHI NZIMA , KAMA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA INAVYOELEKEZA .
Hayo ameyasema alipokuwa akizungumza na Umati wa Wananchi waliohudhuria Kongamano la Katiba Mpya lililofanyika siku ya Mei Mosi huko Mbalizi Mkoani Mbeya .
Tundu Lissu yuko Ubelgiji baada ya kuikimbia Nchi yake kutokana na kupata Taarifa za kumdhuru mara tu baada ya kufanyika kwa kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 , tunatoa shukrani kwa Mabalozi waliowezesha Lissu kuwa hai hadi leo .