Tundu Lissu asisitiza Katiba Mpya, Kurejea Nchini siku yoyote kuanzia sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya Tanzania , huku akiahidi KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA NCHI NZIMA , KAMA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA INAVYOELEKEZA .

Hayo ameyasema alipokuwa akizungumza na Umati wa Wananchi waliohudhuria Kongamano la Katiba Mpya lililofanyika siku ya Mei Mosi huko Mbalizi Mkoani Mbeya .

FB_IMG_1651410826285.jpg

Tundu Lissu yuko Ubelgiji baada ya kuikimbia Nchi yake kutokana na kupata Taarifa za kumdhuru mara tu baada ya kufanyika kwa kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 , tunatoa shukrani kwa Mabalozi waliowezesha Lissu kuwa hai hadi leo .
 
View attachment 2207921

Nimefurahishwa na maelezo yake kule club house kuhusu kwa nini tumenyimwa nyongeza ya mishahara
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya Tanzania , huku akiahidi KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA NCHI NZIMA , KAMA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA INAVYOELEKEZA .

Hayo ameyasema alipokuwa akizungumza na Umati wa Wananchi waliohudhuria Kongamano la Katiba Mpya lililofanyika siku ya Mei Mosi huko Mbalizi Mkoani Mbeya .

View attachment 2207921

Tundu Lissu yuko Ubelgiji baada ya kuikimbia Nchi yake kutokana na kupata Taarifa za kumdhuru mara tu baada ya kufanyika kwa kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 , tunatoa shukrani kwa Mabalozi waliowezesha Lissu kuwa hai hadi leo .
Katiba Mpya ni sasa
 
Katiba Mpya ni sasa
Hii ndiyo ajenda inayoeleweka, haihitaji maelezo mengi sana.

Kwa hiyo ana pakuanzia pazuri sana.

Hata kama angeamua kuicha hiyo ajenda ya mikutano ya hadhara kwa sasa (kuiweka kiporo), akashughulika na mikusanyiko kama hiyo iliyoonyeshwa hapo juu kwenye picha, bado kazi ya ajenda moja ya Katiba Mpya itatosheleza mahitaji kwa sasa.
 
swadakta
 
Bwashee, kwani lile tamko la rais aliloweka kama sharti la yeye kurejea nchini limeshatoka?
Au ameamua kujirudisha tu mwenyewe baada ya kuona atasubiri sana?!
Mr #dishlimetilt ana vioja sana!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Mh Tundu Lissu , leo ametangaza Hadharani kwamba tayari amekwisha kusanya virago vyake huko Ubelgiji , akiwa Tayari kwa safari ya Kurejea Nchi aliyozaliwa ya Tanzania , huku akiahidi KUFANYA MIKUTANO YA HADHARA NCHI NZIMA , KAMA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA INAVYOELEKEZA .

Hayo ameyasema alipokuwa akizungumza na Umati wa Wananchi waliohudhuria Kongamano la Katiba Mpya lililofanyika siku ya Mei Mosi huko Mbalizi Mkoani Mbeya .

View attachment 2207921

Tundu Lissu yuko Ubelgiji baada ya kuikimbia Nchi yake kutokana na kupata Taarifa za kumdhuru mara tu baada ya kufanyika kwa kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 , tunatoa shukrani kwa Mabalozi waliowezesha Lissu kuwa hai hadi leo .
Mungu ibariki CHADEMA.[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
mara tu baada ya kufanyika kwa kile kilichoitwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ,
Hakuna kitu kizuri kama ukweli, ule ni uchaguzi Mkuu na sio kilichoitwa!
tunatoa shukrani kwa Mabalozi waliowezesha Lissu kuwa hai hadi leo .
Kama unadhani ni mabalozi ndio walio mwezesha Lissu kuwa hai hadi Leo, endelea kudhani hivyo hivyo, lakini watu tunajua na Tundu Lissu mwenyewe anamjua aliye muokoa toka zile pyu pyu na kusimama nae mpaka sasa. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
 
Nimefurahishwa na maelzezo yake kuleclub house kuhusu kwa nini tumenyimwa nyongeza ya mishahara
Nani kasema mmenyimwa nyongeza ya mshahara ebu acha kutoa majibu ya ramli usiyoyajua ushauri wangu achana na hawa Wana siasa wa bongo hivi unaweza amini Dr slaa angesaliti CDM

Hawa wapinzani watanzania ili tuheshimiane nikuwadharau tu ili kesho tujue tunatokaje hapa si kuwategemea wao maana wengi wao wanafiki mfano mwingine unaona matendo ya msigwa Sasa unaweza kuamini ndio yule
 
Watu wachache kama hawa wasikukatishe tamaa. Tusonge mbele. Penye mafanikio panajitokeza vikwazo vingi vyenye kukatisha tamaa. Anayekazana hushinda.
 
Tunawatoa usingizini vijana hawajui kuwa wanatumika bila sababu nguvu wanayotumia kubishana na kutumwa tumwa ovyo wangeitumia kufanya shughuli za kuwaletea kipato ingewasaidia sana na wangemuelewa mama
 
Hakuna kitu kizuri kama ukweli, ule ni uchaguzi Mkuu na sio kilichoitwa!

Kama udhadhani ni mabalozi ndio walio mwezesha Lissu kuwa hai hadi Leo, endelea kudhani, lakini watu tunajua na Tundu Lissu mwenyewe anamjua aliye muokoa toka zile pyu pyu na kusimama nae mpaka sasa. Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
P
We jamaa , kama ule ulikuwa uchaguzi mbona wewe uliambulia kura Sifuri yenye masikio ?
 
Nani kasema mmenyimwa nyongeza ya mshahara ebu acha kutoa majibu ya ramli usiyoyajua ushauri wangu achana na hawa Wana siasa wa bongo hivi unaweza amini Dr slaa angesaliti CDM

Hawa wapinzani watanzania ili tuheshimiane nikuwadharau tu ili kesho tujue tunatokaje hapa si kuwategemea wao maana wengi wao wanafiki mfano mwingine unaona matendo ya msigwa Sasa unaweza kuamini ndio yule
Dr Slaa kabla ya kuja Chadema alikuwa Mwanaccm
 
Nani kasema mmenyimwa nyongeza ya mshahara ebu acha kutoa majibu ya ramli usiyoyajua ushauri wangu achana na hawa Wana siasa wa bongo hivi unaweza amini Dr slaa angesaliti CDM

Hawa wapinzani watanzania ili tuheshimiane nikuwadharau tu ili kesho tujue tunatokaje hapa si kuwategemea wao maana wengi wao wanafiki mfano mwingine unaona matendo ya msigwa Sasa unaweza kuamini ndio yule
Mbona umetolea mfano upinzani tu? Kwa ujumla wanasiasa wote sio wa kuwawekea dhamana mfano ni aliyekuwa makamo wa raisi angalia sasa hivi anavyomgeuka aliyekuwa raisi
 
Back
Top Bottom