Tundu Lissu asusia mkutano Dar

Tundu Lissu asusia mkutano Dar

Mafisadi wameshauteka mjadala wa Katiba mpya. Sioni sababu yoyote ya Watanzania kuendelea kupoteza muda wetu katika kuchangia mjadala huu ambao mwisho wake ni utungaji wa katiba ambayo itakuwa haina maslahi yoyote kwa Watanzania.

Inasikitisha sana hali hii labda watu ambao bado wana heshima ndani ya nchi yetu kama vile Warioba, SAS na wengineo wazungumzie tatizo hili kubwa na kumuonya Kikwete na kundi lake la mafisadi kwamba Katiba inayotungwa ni katiba ya Watanzania wote bila kujali itikadi zetu hivyo kuwe na uhuru wa ukweli katika kukusanya mawazo bila vitisho vya aina yoyote ile au vurumai zitakazofanywa na mafisadi. Vinginevyo kushiriki katika mjadala huu kwa maoni yangu ni kupoteza muda tu.
Mkuu ni muhimu pia kuwa makini hapa.Ntakueleza how.
Ni vyema kutofautisha kati ya mjadala wa kutaka katiba mpya vs mjadala wa namna ya kupata katiba mpya.
Kwa hivyo sidhani kama tunapoteza muda kujadili namna ya kupata katiba mpya kwasababu hapo ndipo pa msingi.Tukishakubaliana namna ya kuipata katiba mpya,yani kuhakikisha wananchi wanashirikishwa na na baada ya kuridhia kuwa katiba itawanufaisha wananchi wote,na kwamba hakuna nguvu ya kundi ama mtu flani,then tunaingia kwenye mchakato wa kuipata katiba mpya kwa kutumia vigezo vya makubaliano hayo,nadhani tupo hapo.I stand to be corrected.
Kama nimeelewa vyema,muswada huu ni wa namna ya kuipata katiba mpya na wala si katiba mpya.
 
Na hao watoto wenye njaa mmewaleta ili mseme mna umma? .

Hapo ndipo mnapokosea, kwani hawa sio wa Tanzania? wao hawana uhuru wa kushiriki? Kwa public hearing ilikuwa inawahusu ninyi mlioshiba peke yenu? sasa mjifunze kutoka yesu, alipoambiwa awanyamazishe wanafunzi wake akawaambia kuwa akinyamaza basi maye yatapayuka, kwa kuwa waliopaswa kuwajibu wameshindwa sasa mawe wanawajibu na huu ndio mwanzo tu, nimefurahi reaction ya kususa kwani imeonesha ni jinsi gani mlivyo na uvumilivu.

haiwezekani mtu mwenye akili timamu ukajumuika na hao watoto ambao ata katiba hawajui maana yake..

Hivi mlidhani ninyi ndio watanzania peke yenu? subiri tarehe 16 CDM mtakapo andamana mtawaona watanzania wengine nao.
 
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.

Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?

Sawa mkuu tumekusikia lakini je hao watoto kiingereza kinapanda na wanaelewa kilichoandikwa kwenye huo muswada? Hao walilipwa tu kwenda pale kuzomea na walipochoka wakalala!!!! Si unaona hiyo picha? Kwa kuwa huko kazini najua utabisha tu!!!!

Tiba
 
Hapo ndipo mnapokosea, kwani hawa sio wa Tanzania? wao hawana uhuru wa kushiriki? Kwa public hearing ilikuwa inawahusu ninyi mlioshiba peke yenu? sasa mjifunze kutoka yesu, alipoambiwa awanyamazishe wanafunzi wake akawaambia kuwa akinyamaza basi maye yatapayuka, kwa kuwa waliopaswa kuwajibu wameshindwa sasa mawe wanawajibu na huu ndio mwanzo tu, nimefurahi reaction ya kususa kwani imeonesha ni jinsi gani mlivyo na uvumilivu.
Hamkuwashirikisha kwasababu mnawapenda na mnataka mawazo yao.You used them intentionally kuleta vurugu...You have been using their kinds for quite sometimes now...You know your games come on now...From pilaos,kandambilis,sidirias...Sasa hao watoto mliwalisha kwanza?Walipochoka wakalala.Kama mlitaka wachangie pia you should've done them a favor na kuhakikisha wanafanya hivyo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndiyo maana kuna watu bado hawaamini kuwa mlishinda uchaguzi uliopita kiuhalali,wanadai mlichakakchua,ukweli ni kwamba nachelea kusema inaweza kuwa kweli kwasababu hamna umma ulioko nyuma ya ufisadi ndugu yangu,mnalazimishia kuwa mna umma,hakuna kitu.Na hao watoto wenye njaa mmewaleta ili mseme mna umma?
Mwenzako Majimshindo ndio anakuja na hoja dhaifu kabisa kuwa eti wameenda kujifunza.Mko very out of touch.
Kwa taarifa yako,kudai kuwa mna umma ni sawa na kusema youre delusional.

Hamkuwashirikisha kwasababu mnawapenda na mnataka mawazo yao.You used them intentionally kuleta vurugu...You have been using their kinds for quite sometimes now...You know your games come on now...From pilaos,kandambilis,sidirias...Sasa hao watoto mliwalisha kwanza?Walipochoka wakalala.Kama mlitaka wachangie pia you should've done them a favor na kuhakikisha wanafanya hivyo.

OK wacha tuseme, unamjua kijana anaitwa Jack Buer wa UDOM? Huyu pamoja na wenzake walichukua fedha kiasi cha shilingi laki tano kutoka kwa jamaa wa karibu na Lema ili zitumike pamoja na usafiri kununua bangi na pombe ili kuhamasisha vijana waende kwenye ukumbi wa bunge kufanya fujo, taarifa hizi zinajulikana na uongozi wa CDM na vyombo vya usalama lakini hakuna liyechukua hatua, sasa unadhani CCM ni wajinga kiasi gani? Waswahili wanasema ukiujua huu wenzako wanaujua ule.
 
Unataka kusema CDM wanatumia mbinu ya CCM ya kukodi watu?Ukisema jamaa wa karibu na Lema aliprovide pesa za kununulia bangi,usafiri, na pombe ni kutaka kuwachafua tu,i dont think anyone would buy that.
Kuna ushahidi wa waliokamatwa wakiwa wamelewa na wakiwa na hizo bangi?Ama una nakala ya makubaliano yao yenye kuonyesha kuwa watanunuliwa bangi na pombe ilili wakfanye vurugu?Ushahidi?
 
Redraft constitutional review bill - stakeholders

By Florian Kaijage

9th April 2011

Public opinion on the Constitutional Review Act, 2011 debate, which kicked off here yesterday, hinged on major changes to ensure the nation was managed according to good governance principles.

It was proposed that the Bill be rewritten starting with the Bill's title, which did not reflect the need to have a new constitution, as expressed by President Jakaya Kikwete and Constitutional Affairs and Justice Minister Celina Kombani.

University of Dar es Salaam (UDSM) senior lecturer Dr Ezaveli Lwaitama told the gathering that the Bill title ‘The Constitutional Review Bill 2011' did not mean that the process would result in the new Constitution.

He proposed that the title should read: ‘The preparation of the new Constitution Bill 2011'.

Dr Lwaitama also said it was wrong to stipulate in the Bill that the president was empowered to appoint members of Constituent Assembly, who would pass the proposed new Constitution.

"The president should not appoint members of the Constituent Assembly because this is a very special assembly with a special task and, therefore, it has to be elected by people," said the university don.

Jane Magigita from the civil society criticised politicising the constitutional making process and defeating the good intended purpose.

She argued the proposal that the president should have powers to convert the current ordinary Parliament into a Constituent Assembly was extremely dangerous.
"Let the Constituent Assembly be separate from the current one because if that is allowed the Parliament will lean on party inclination," she said.

Magigita added that the Bill should also state clearly what would follow if it happened that after the referendum, members of the public voted no to the new Constitution as the proposed Bill was silent on the matter.

Bernard Mg'ong'o proposed that the local authorities should not be involved at all, saying they had been the root cause of unnecessary chaos during past elections.
He noted that there must be a free electoral Commission to oversee the referendum instead of using the current one, which leaned on the ruling party, which led the government.

Activist Deus Kibamba said the Bill had at least 105 deficiencies and one of them was lack of a timeframe and deadline of various activities.

Kibamba noted that it was evident that the proposed date (June 1, 2011) for the commencement of the coming Act was not realistic because of the short time provided and, therefore, there was a need for revisiting that.
Retired Justice John Mkwawa said the most important thing in the process was the diligence of the people to be appointed for the purpose.

He added that the current electoral Commission had capacity to execute the duties related to elections although there was a certain level of mistrust from the public and he proposed the Commission be overhauled if necessary to save public interests.

In general, a number of people were critical of excessive presidential powers or any other single body.
They also proposed that it was not wise to exclude political party leaders from taking part in the process.
The public hearing is under the parliamentary standing Committee on Constitution, Justice and Administration.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Hapo ndipo mnapokosea, kwani hawa sio wa Tanzania? wao hawana uhuru wa kushiriki? Kwa public hearing ilikuwa inawahusu ninyi mlioshiba peke yenu? sasa mjifunze kutoka yesu, alipoambiwa awanyamazishe wanafunzi wake akawaambia kuwa akinyamaza basi maye yatapayuka, kwa kuwa waliopaswa kuwajibu wameshindwa sasa mawe wanawajibu na huu ndio mwanzo tu, nimefurahi reaction ya kususa kwani imeonesha ni jinsi gani mlivyo na uvumilivu.

Hivi mlidhani ninyi ndio watanzania peke yenu? subiri tarehe 16 CDM mtakapo andamana mtawaona watanzania wengine nao.

Mkuu Nduka nimefatilia post zako na nilichoona kimejificha nyuma ya pazia unamaanisha mapambano ya udini! Nguvu yako ya umma unayomaanisha ni ile inayotokana na makongamano na mihadhara miskitini mkiamini kuwa Chadema ni ya wakristo basi eti mmejipanga kupambana! Inaskitisha sana mnapokuwa na mawazo mgando kama hayo! Vinginevyo tuambie hiyo nguvu ni ipi kama alivyokuuliza Jmushi1
 
Hii katiba inawahusu zaidi hao watoto, na ni uongo waliosema wamekodishwa hao walipelekwa masomo kwa vitendo, ni kawaida kabisa, hata bungeni huwa tunaona wakipelekwa! Msitafute sababu zisizo na maana.

Jee, mnataka kusema kuwa watoto hawana haki nchi hii?
Heshima mbele Majimshindo. Are you really serious? Hivi unadhani kuwa hawa watoto wanaoonekana katika picha wanshiriki katika kongomano kikamilifu. Naona tunaleta mzaha kwenye mambo nyeti.
 
Mkuu Nduka nimefatilia post zako na nilichoona kimejificha nyuma ya pazia unamaanisha mapambano ya udini! Nguvu yako ya umma unayomaanisha ni ile inayotokana na makongamano na mihadhara miskitini mkiamini kuwa Chadema ni ya wakristo basi eti mmejipanga kupambana! Inaskitisha sana mnapokuwa na mawazo mgando kama hayo! Vinginevyo tuambie hiyo nguvu ni ipi kama alivyokuuliza Jmushi1

Nimekwisha lijibu hili swali ndugu, inavyoonekana unataka tu kuniwekea chuki juu ya imani yangu. Labda nikuambie kwa lugha unayoitaka, nguvu ya umma ninayo izungumzia ni wale watanzania wasio kubaliana na misimamo ya CDM( nadhani unawajua). Hawa ni watanzania wanaoamini ktk misingi ya utanzania na wenye kuweka maslahi ya Tanzania mbele ya maslahi yao binafsi, hawa ni watanzania wanaoamini kuwa si lazima utawale hata ukikosa ridhaa ya wananchi, hawa ni watanzania wanaoamini kuwa kuna watanzania wengine wenye mawazo tofauti na yao na bado wakaendelea kuwaheshimu huku wakiendelea kutofautiana na kukubali kutofautiana kwao, hawa ni watanzania ambao wanaamini kuwa nchi hii si mali ya kundi fulani linalojitambulisha kwa rangi, dini, elimu, kanda, wala kabila, hawa ni watanzania wenye kuipenda nchi yao kwanza na ustawi na amani ndio misingi ya maendeleo.Watanzania hawa wapo kwenye kila dini, chama, kabila, au hata kanda. Hii ndio nguvu ya umma itakayo simama pindi SLaa na Mbowe watakapo simamisha nguvu yao ya umma kwa kuwa misingi yao haifanani na yetu.
 
tundu lisu was right to walk out,we should be serious on this,tuache ushabiki usio na maana.taifa hili sio la ccm wala chadema ni letu sisi watanzania,ushabiki wa vyama kwenye issue za msingi ni ujinga na kuendekeza maslahi binafsi.
 
Back
Top Bottom