johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Una utani mwingi sana bwasheeππTunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
natamani kusmile kama mtendaji mkuu wa CCM taifa naposoma bandiko lako πTunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Kalewa mbege huyuUna utani mwingi sana bwasheeππ
October wengi watashangazwa na Uwaziri utatokea Chadema huko huko siyo kama ile ya Kuunga Juhudi za Shujaa ππUna utani mwingi sana bwasheeππ
Mimi sinywi Chibuku Mwitu nakunywa Bamboo juice πKalewa mbege huyu
Yani roho mtakatifu ajadili kuhusu upumbavu wa ccm ya bushiri samia na chadema na dj mbowe mlamba asali ....π€Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Mkuu mbona sisi wa Rohoni watu wengi tu wameona . Huyu ni Mungu lazima ahabarishe watumishi wake . Yamkini ikimpendeza Mungu na kwa maombi mazito ya watakatifu mambo yanabadilika Ili kwa sababu Nzuri ya kimunguKuna mtu amedanganywa na mapepo aingie vitani Ili aanguke.
Tusubiri.
Acha iende hivyo, maana pepo wa uongo amekaa kwenye vinywa vya manabii wake. Wala hana mpango wa kumsikiliza Mikaya.Kuna mtu amedanganywa na mapepo aingie vitani Ili aanguke.
Tusubiri.
Hizi pombe za offer unazofakamia bila kula haya ndiyo madhara yake,unafikiri serikali ya Umoja wa kitaifa inakuja kwa matakwa ya Rais au ni takwa la kisheria ?Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Ndoto ya mchana hiiTunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Uahirishwe siyo uhairishwe,sawa sawa?uchaguzi ilibidi uhairishwe? ππ
Uliwahi ona wapi Roho mtakatifu akae ndani ya mwana ccm, thubutu yakoTunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Nchi ina wapumbavu wengi sana hiiππππYaani hii ni kweli wale wa Rohoni ndiyo tumekuelewa vizuri Sana
Chadema ikitoa Waziri mkuu itaundwa Serikali ya Nusu mkate πHizi pombe za offer unazofakamia bila kula haya ndiyo madhara yake,unafikiri serikali ya Umoja wa kitaifa inakuja kwa matakwa ya Rais au ni takwa la kisheria ?