Pre GE2025 Tundu Lissu atagombea Urais lakini atashindwa ila ataiwezesha CHADEMA kupata Wabunge wengi wa kufanikisha Freeman Mbowe kuwa Waziri Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election

Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe

Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Una utani mwingi sana bwashee๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election

Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe

Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
natamani kusmile kama mtendaji mkuu wa CCM taifa naposoma bandiko lako ๐Ÿ’
 
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election

Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe

Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Yani roho mtakatifu ajadili kuhusu upumbavu wa ccm ya bushiri samia na chadema na dj mbowe mlamba asali ....๐Ÿคญ
 
Kuna mtu amedanganywa na mapepo aingie vitani Ili aanguke.

Tusubiri.
Mkuu mbona sisi wa Rohoni watu wengi tu wameona . Huyu ni Mungu lazima ahabarishe watumishi wake . Yamkini ikimpendeza Mungu na kwa maombi mazito ya watakatifu mambo yanabadilika Ili kwa sababu Nzuri ya kimungu
 
Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election

Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe

Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu

Mlale unono ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Hizi pombe za offer unazofakamia bila kula haya ndiyo madhara yake,unafikiri serikali ya Umoja wa kitaifa inakuja kwa matakwa ya Rais au ni takwa la kisheria ?
 
Ndoto ya mchana hii
 
Uliwahi ona wapi Roho mtakatifu akae ndani ya mwana ccm, thubutu yako
 
Hizi pombe za offer unazofakamia bila kula haya ndiyo madhara yake,unafikiri serikali ya Umoja wa kitaifa inakuja kwa matakwa ya Rais au ni takwa la kisheria ?
Chadema ikitoa Waziri mkuu itaundwa Serikali ya Nusu mkate ๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom