Pre GE2025 Tundu Lissu atagombea Urais lakini atashindwa ila ataiwezesha CHADEMA kupata Wabunge wengi wa kufanikisha Freeman Mbowe kuwa Waziri Mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Roho mtakatifu kafikaje huku?
 
Leo umeandika point
 
Unajua umeandika kimasihara na kuishia kucheka lakini trust me umeweka hoja ya msingi sana. Na sisi watumishi wa Mungu hili tulishaliona.
 
Haka ka bangi kakikutoka walawi utakuja kufuta huu uzi!
 
Ushaamka mkuu..?! Mbowe waziri mkuu?! Labda kuwe na serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar
 
Wewe mtu mzima unaheshimika humu, bado tu una mawazo ya Mbowe kwamba atakuwa waziri mkuu ndani ya masaa 72? Ebu acha kuweweseka mzee.
 
Unabii Tanzania umekuwa kama betting!
 
Sawa John kwa dua ya kheri,bora shamba la bibi litapona kutoka makucha ya fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…