johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Usiogope ππΌNchi ina wapumbavu wengi sana hiiππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiogope ππΌNchi ina wapumbavu wengi sana hiiππππ
Roho mtakatifu kafikaje huku?Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Kwa sheria gani inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya nusu mkate?Chadema ikitoa Waziri mkuu itaundwa Serikali ya Nusu mkate π
Utaijua Mbowe atakapokuwa Waziri mkuu na CPA Ruge Spika wa Bunge πΌKwa sheria gani inayoruhusu uundwaji wa Serikali ya nusu mkate?
Leo umeandika pointTunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Pombe hizo mdogo wangu.Utaijua Mbowe atakapokuwa Waziri mkuu na CPA Ruge Spika wa Bunge πΌ
Au Bamboo wineMimi sinywi Chibuku Mwitu nakunywa Bamboo juice π
Maccm yote ni mawakala wa sheitwanUliwahi ona wapi Roho mtakatifu akae ndani ya mwana ccm, thubutu yako
Unajua umeandika kimasihara na kuishia kucheka lakini trust me umeweka hoja ya msingi sana. Na sisi watumishi wa Mungu hili tulishaliona.Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Haka ka bangi kakikutoka walawi utakuja kufuta huu uzi!Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Inaitwa Mkangafu πAu Bamboo wine
Usisile?Inaitwa Mkangafu π
πππUsisile?
Wewe mtu mzima unaheshimika humu, bado tu una mawazo ya Mbowe kwamba atakuwa waziri mkuu ndani ya masaa 72? Ebu acha kuweweseka mzee.Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Utaelewa vizuri mbele ya safariWewe mtu mzima unaheshimika humu, bado tu una mawazo ya Mbowe kwamba atakuwa waziri mkuu ndani ya masaa 72? Ebu acha kuweweseka mzee.
Unabii Tanzania umekuwa kama betting!Tunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election
Chadema itashiriki uchaguzi na itajipatia Wabunge wengi tu na huenda ikatoa Waziri mkuu ambaye ni Freeman Mbowe
Ni ngumu sana kuielewa hii kwa sasa bila msaada wa roho mtakatifu
Mlale unono ππ
Sawa John kwa dua ya kheri,bora shamba la bibi litapona kutoka makucha ya fisiTunza sana huu Unabii na usidanganyike na No Reforms No Election