Mhii sawaShahidi wangu wa 1 ni Samia Suluhu Hassan. Huyu anapatikana Ikulu ya Kivukoni. Akikosekana anapatikana Ikulu ya Dodoma.
Shahidi wangu wa 2 anaitwa Philip Isdor Mpango. Huyu anapatikana ofisi ya makamu wa Rais, mji wa Serikali Dodoma.
Shahidi wangu wa 3 anaitwa Kassim Majaliwa Kassim. Huyu anapatikana ofisi ya Waziri Mkuu Dodoma.
Shahidi wangu wa 4 anaitwa Inspector General of Police (IGP), Camillus Wambura. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 5 anaitwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Ramadhani Kingai. Huyu anapatikana ofisi ya makao ya polisi Dodoma.
Shahidi wa 6 ni Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa. Huyu simfahamu jina. Lakini anapatikana yalipo makao makuu ya usalama wa Taifa.
Shahidi wangu wa 7 anaitwa Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng'anzi. Huyu anapatikana makao makuu ya polisi Dodoma.
Shahidi wangu wa 8 anaitwa Agather Atuhaire. Huyu yupo Kampala, Uganda. Yule aliyetekwa nyara na kuteswa na kwenda kutupwa mpakani.
Shahidi wangu wa 9 ni Boniface Mwangi. Huyu yupo Nairobi, Kenya. Huyu alitekwa nyara, akateswa na kwenda kutupwa mpakani Horohoro.
Shahidi wangu 10 atakuwa John Marwa. Huyu ni Mkurugenzi wa Jambo TV.
Shahidi wangu wa 11 atakuwa Amani Sam Golugwa. Huyu ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA. Huyu anajua mkutano huo uliitishwaje.
Shahidi wangu wa 12 ni John Wegesa Heche. Huyu ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Anajua nilikuwa wapi kipindi hicho.
Shahidi wangu wa 13 atakuwa John John Mnyika. Huyu ni Katibu Mkuu wa CHADEMA. Ofisi yake ni Makao Mkuu ya CHADEMA.
Shahidi wangu wa 14 atakuwa Dr. Willy Munyoki Mutunga anapatikana Nairobi, Kenya.
Shahidi wangu wa 15 atakuwa ni Martha Wangari Karua. Huyu anapatikana Nairobi, Kenya.
Naomba nihifadhi haki yangu ya kuwaita mashahidi wa ziada kama hawa hawatatosha"
Tundu A.M Lissu,
Mahakama Kuu ya Tanzania
Masjala ndogo ya Dar es Salaam
View attachment 3477384
Sawa mwanasheria poriHuyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Tunaendelea kupata somo mkuuHii kisheria imekaaje,na je mahakama ina uwezo wa kukataa mashahidi wa mtuhumiwa?
Kwamba sheria inazuia Rais kuwa cross examined?Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Huwezi kujua sheria kumshinda Lissu umejificha na ID fakeHuyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Hujanielewa unaandika uharo unaofikiria kichwani. Nchi yetu inatumia mfumo wa adversarial system ambapo upande uliomwita shahidi hutakiwi kum cross examine shahidi wake zaidi ni examination in chief. Hivyo mawakili wa serikali ndio watakao wa cross examine hivyo watakuwa na nafisi nzuri zaidi ku prove kesi yaoKwamba sheria inazuia Rais kuwa cross examined?
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabiliMku
Sawa sawa. Basi wajitokeze mahakamaniHujanielewa unaandika uharo unaofikiria kichwani. Nchi yetu inatumia mfumo wa adversarial system ambapo upande uliomwita shahidi hutakiwi kum cross examine shahidi wake zaidi ni examination in chief. Hivyo mawakili wa serikali ndio watakao wa cross examine hivyo watakuwa na nafisi nzuri zaidi ku prove kesi yao
Acha uandazi wewe pimbi aliyekuambia lissu ndio Si unit ya sheria nchini ni nani?Huwezi kujua sheria kumshinda Lissu umejificha na ID fake
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili
Huyu analeta utani kwenye kesi. Lengo la shahidi ni upande unaomwita kuja kumsaudia . Sasa unavyoita advertise part na wewe huna mammlaka ya ku m cross examine shahidi wako maana yake unajidumbuliza mwenyewe kwenye shimo la moto. Pili hao wanaharakati anaowaita sijui wanakuja ku.prove kitu gani wakati tukio lilipotokea walikuwa nje ya nchi na Wala hawana connection yoyote na kesi inayomkabili