Mkuu misukule ya mzee mbowe iko kama imekatwa kichwaKwa akili yako unaona magufuri hakuwa na sifa za kuwa rais kwel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu misukule ya mzee mbowe iko kama imekatwa kichwaKwa akili yako unaona magufuri hakuwa na sifa za kuwa rais kwel
Mtafufute Salary Slip inboxHuku nimekosea njia .natafuta uzi wa mapenzi nimeingia kwenye siasa
Miala 50Kwahio bora samia akae miaka 10I
Mbona wewe baba ako hakuacha?Anaogopa zambi Mangi ,kudanganya wananchi maskini kuwa wakunje ngumi wakati wewe unawaibia sio tabia nzuri kabisa na malipo ni hapa hapa duniani ndio maana utajiti aliacha Mzee Aikael Mbowe unapuputika siku hadi siku.LAANA ni mbaya jamani.
Maanake chama kina magari mengiKwa hiyo kutokupanda daladala kumeondoa uhalisia kuwa ameomba achangiwe hela ya usafiri? Hivi na hela ya matengenezo atachangiwa tena?
Unakaribia kuchanganyikiwa weweNimeweza kujitambua ndio maana nimegoma kuwa msukule wa mzee Mbowe kama ulivyo unakesha mitandaoni kudanganya umma kuwa chadema wanao ubavu kuchukua uongozi wa nchi.MKUU Acha kuvuna zambia aisee🙆♂️🙆♂️🙆♂️
CCM nyie ni wapuuzi hata mawakala wa CCM hawajalipwa hapa ArushaPesa wanazo? Pesa yote inaliwa na viongozi. Nyinyi endeleeni ulialia tu!
Nchi inaendeshwa kwa misingi ya katiba, sheria, kanuni na taratibu, CCM wanachofanya ni wizi tupuKwa maana hii inawezekana na upinzani nao wakipata nafasi wataanza kwanza kukijenga chama kiuchumi kabla ya kuanza kuijenga nchi
Ya CCM huioni?Nyinyi ndio mnakula hiyo ruzuku ya CDM lazima utetee usiku na mchana.
Ya CCM huyawezi wewe!CCM nyie ni wapuuzi hata mawakala wa CCM hawajalipwa hapa Arusha
Kwani lazima kuachiwa URITHI,pigana kivyako MANGIMbona wewe baba ako hakuacha?
Kwani anini alituomba mchango?Maanake chama kina magari mengi
Haka kajamaa tungekapa nchi walau miaka 5
Tatzo kiti cha urais sio cha kufanyia majaribio
Njaa tupuYa CCM huyawezi wewe!
Unasubiri uibe kupitia CCM, shame on youKwani lazima kuachiwa URITHI,pigana kivyako MANGI
Ulichanga wewe chawa?Kwani anini alituomba mchango?
Ndio tena nyingi tuUlichanga wewe chawa?
Kama ambavyo Mzee Mbowe anaiba kupitia SACCOSUnasubiri uibe kupitia CCM, shame on you
Mlo wenyewe hujiweziNdio tena nyingi tu