LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

LGE2024 Tundu Lissu ataja Sifa za Wakala ndani ya kituo cha Kura, Asema Ubishi ni Muhimu, Atumia Neno la Ubaya Ubwela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Anaogopa zambi Mangi ,kudanganya wananchi maskini kuwa wakunje ngumi wakati wewe unawaibia sio tabia nzuri kabisa na malipo ni hapa hapa duniani ndio maana utajiti aliacha Mzee Aikael Mbowe unapuputika siku hadi siku.LAANA ni mbaya jamani.
Mbona wewe baba ako hakuacha?
 
Nimeweza kujitambua ndio maana nimegoma kuwa msukule wa mzee Mbowe kama ulivyo unakesha mitandaoni kudanganya umma kuwa chadema wanao ubavu kuchukua uongozi wa nchi.MKUU Acha kuvuna zambia aisee🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Unakaribia kuchanganyikiwa wewe
 
Kwa maana hii inawezekana na upinzani nao wakipata nafasi wataanza kwanza kukijenga chama kiuchumi kabla ya kuanza kuijenga nchi
Nchi inaendeshwa kwa misingi ya katiba, sheria, kanuni na taratibu, CCM wanachofanya ni wizi tupu
 
Ukitaka kujua hawa majamaa vichwa vyao vimejaa ukorofi ni kusoma mada zao.

Nilitegemea kwenye hii mada nione maelezo ya mawakala wao watakuwa wamevaa au wanakitu fulani unique designed by CDM kwa kuelewa fitna za CCM ili kuhakikisha kituo cha kura wanakilinda.

Hakuna kitu kama icho, hata hawajui vituo gani wana mawakala au la kutokana na mada za mapoyoyo yao ya JF.

Ni chama ambacho hakina strategy yoyote ya uchaguzi kwa njia halisi, zaidi ya kumtegemea Amsterdam, EU union na UK government kwa ulalamishi wa kutunga tu ili nchi iadhibiwe na wananchi waumie.

CDM ni shida kwa Tanzania, wanatabirika.

Ni chama kinachoongozwa na matahiira na wafuasi mataahira; that’s the logical conclusion.

Haiwezi kuwe na chama ambacho kinaenda kwenye uchaguzi strategy yake ni namna ya kulalamika dhulumati badala ya kuwa na mikakati ya kusimamia haki zao.

Lazima uwe hamnazo kushabikia watu wenye uwezo mdogo kama wanao uonyesha wazi wazi viongozi wa CDM.

Wanachojua na maandalizi yso ni kwenye kupinga-pinga tu.
 
Back
Top Bottom