Tundu Lissu atapigiwa hapa kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Tundu Lissu atapigiwa hapa kwenye uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Uchaguzi wote kuwa live katika TV za nje na ndani.

Hii ndio itampigia Lissu kisiasa.

Hivi sasa team Lissu yote imeingia baridi
 
How?? Funguka fafanua!! TV Zinapiga kura??🤔🤔🤔🤣🤣🤣🚴🚴
Kwa mfano, kura ya Heche kumpigia Lissu itaonyeshwa kapigiwa nani? Mara kampigia Mbowe akitoka anasema kampigia lissu
 
Uchaguzi wote kuwa live ktk TV za nje na ndani.
Hii ndio itampigia lissu kisiasa
kikubwa wizi usifanyike na watanzania wote waone jinsi atakavyoshindwa ki halali. Mashabiki wake wataridhika na yeye ataridhika kushindwa
 
kikubwa wizi usifanyike na watanzania wote waone jinsi atakavyoshindwa ki halali. Mashabiki wake wataridhika na yeye ataridhika kushindwa
Inaamaana umakamo aliupata kwa wizi?
 
Inaamaana umakamo aliupata kwa wizi?
umakamu haukuwa ma ushindani mkubwa kama huu wa uenyekiti. Huu ni sawa na uchaguzi mkuu wa, joto lake liko juu sana haijawahi kutokea miongoni mwa vyama vya siasa
 
Jifunze ushindi wa Mwabukusi TLS ilikuwaje,

Hii ni 2025
 
Ushajijibu?
Hizo mbona ziko miaka yote kwenye chaguzi zote.
[
umakamu haukuwa ma ushindani mkubwa kama huu wa uenyekiti. Huu ni sawa na uchaguzi mkuu wa, joto lake liko juu sana haijawahi kutokea miongoni mwa vyama vya siasa
TV zote zitakuwa live: kwa mfano kura ya Heche baada ya kupiga atainyoesha live kampigia nani
 
Back
Top Bottom