Hiyo ni sawa na saa mbili na nusu au saa mbili na dakika tano? iweke wazi wasijeanza kusema ulichoandika hakikutimia, kwa utata wa muda tuMagufuli atashindwa saa 2.5 asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sawa na saa mbili na nusu au saa mbili na dakika tano? iweke wazi wasijeanza kusema ulichoandika hakikutimia, kwa utata wa muda tuMagufuli atashindwa saa 2.5 asubuhi
Akishindwa kwa HAKI ndio demokrasiaHiyo ni sawa na saa mbili na nusu au saa mbili na dakika tano? iweke wazi wasijeanza kusema ulichoandika hakikutimia, kwa utata wa muda tu
MisconceptionNi ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',
Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya.
Kwa sasa watapoteza muda na kelele zisizo na msingi. Uwingi wa washangiliaji majukwaani siyo kura Bali mioyo ya watu ndio kura ambazo zitazolewa mapema na JPM.
Tundu Lisu huyu huyu mwenye wapiga kura wa Kenya wasio Na vitambulisho vya mpiga kura. Tundu Lisu Huyu Huyu ambaye Siku hizi anaitwa mgombea wa EU, ni bora cdm ingekuwa imempitisha hata Mch. Musigwa au yule Profesa.
Kama mmeshapiga hizo kura saiv mkaziweka kwenye mabox sawa.Saa tatu asubuhi mboma mbalisana.mpaka sasakeshashindwa.
Wewe nitakujibu badae baada ya NEC kumaliza kazi yakumpitishaHavuki hata NEC
Akivuka mkuu?Havuki hata NEC
Mkuu unaongelea urais? Lissu hanasifa, asubiri 2025Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',
Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya.
Kwa sasa watapoteza muda na kelele zisizo na msingi. Uwingi wa washangiliaji majukwaani siyo kura Bali mioyo ya watu ndio kura ambazo zitazolewa mapema na JPM.
Tundu Lisu huyu huyu mwenye wapiga kura wa Kenya wasio Na vitambulisho vya mpiga kura. Tundu Lisu Huyu Huyu ambaye Siku hizi anaitwa mgombea wa EU, ni bora cdm ingekuwa imempitisha hata Mch. Musigwa au yule Profesa.
I agree with you but Kwanini NEC hawapokei form zakeNi ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',