Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atashindwa saa 3 asubuhi

Kwa hiyo tunamwaga damu kwa ajili ya kugombea uongozi? hii ni aibu kubwa kwa taifaletu lililo asisiwa na JKNyerere
 
Saa tatu asubuhi mboma mbalisana.mpaka sasakeshashindwa.
 
Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',

Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya.

Kwa sasa watapoteza muda na kelele zisizo na msingi. Uwingi wa washangiliaji majukwaani siyo kura Bali mioyo ya watu ndio kura ambazo zitazolewa mapema na JPM.

Tundu Lisu huyu huyu mwenye wapiga kura wa Kenya wasio Na vitambulisho vya mpiga kura. Tundu Lisu Huyu Huyu ambaye Siku hizi anaitwa mgombea wa EU, ni bora cdm ingekuwa imempitisha hata Mch. Musigwa au yule Profesa.
Misconception
 
Huu ndio ukweli...

Mpeni Lissu nchi yetu ikombolewe kutoka kwa mabeberu ccn
 
Ni ukweli usiopingika 'ASIYESIKIA LA MKUU',

Ushauri mwingi ulitolewa kuwa mwaka huu chadema na vyama vingine vingewekeza nguvu nyingi katika nafasi za Udiwani Na Ubunge, hii nafasi ya urais wangesimika mgombea mwaka 2025/30 maana ni kipindi ambacho wagombea wote watakuwa wapya.

Kwa sasa watapoteza muda na kelele zisizo na msingi. Uwingi wa washangiliaji majukwaani siyo kura Bali mioyo ya watu ndio kura ambazo zitazolewa mapema na JPM.

Tundu Lisu huyu huyu mwenye wapiga kura wa Kenya wasio Na vitambulisho vya mpiga kura. Tundu Lisu Huyu Huyu ambaye Siku hizi anaitwa mgombea wa EU, ni bora cdm ingekuwa imempitisha hata Mch. Musigwa au yule Profesa.
Mkuu unaongelea urais? Lissu hanasifa, asubiri 2025
 
I agree with you but Kwanini NEC hawapokei form zake
 
Back
Top Bottom