Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Aminaapumzike kwa amani Mwalimu
Mungu amlaze pema peponi mwalimu Bilago.Mgombea Urais wa Chadema leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.
View attachment 1575507
bila shaka yoyote..Natumai Tundu Lissu atatembelea alipolazwa Alphonce Mawazo.
Apumzike kwa amaniMgombea Urais wa Chadema leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.
View attachment 1575507
Mbona kila mwaka dua inafanyika kule Kisiwandui?Mungu amlaze pema peponi mwalimu Bilago.
Tundu Lisu amuache mwalimu apumzike kwa amani, aache kumtumia kisiasa kwani siyo uafrika
Mtoi aliliza wengi sanaErythrocyte ,
..umenikumbusha na jamaa yetu Mohamed Mtoi.
..yule kamanda kifo chake kiliniuma sana kwa kweli.
AminaApumzike kwa amani
Bila kumsahau Chacha Wangwe...Mtoi aliliza wengi sana
Hebu soma ulichoandika na urejee kusoma kilichoandikwa na mleta mada. Halafu jiulize utofauti uliopo hapo.Mungu amlaze pema peponi mwalimu Bilago.
Tundu Lisu amuache mwalimu apumzike kwa amani, aache kumtumia kisiasa kwani siyo uafrika
BAVICHA wagumu sana kuelewa nyieHebu soma ulichoandika na urejee kusoma kilichoandikwa na mleta mada. Halafu jiulize utofauti uliopo hapo.
Haifanyiki wakati wa KampeniMbona kila mwaka dua inafanyika kule Kisiwandui?
Bora ulivyomkumbushaMbona kila mwaka dua inafanyika kule Kisiwandui?
Lakini si wanafanyaHaifanyiki wakati wa Kampeni