Dodoma, Tanzania
MHE. TUNDU LISSU AKITOA SALAMU KWA WAKULIMA IKIWA NI MAADHIMISHO YA SIKU YA NANE NANE
Leo ni NaneNane sikukuu ya wakulima, tufikirie hali ya mkulima popote katika nchi hii, tufikirie hali ya mfugaji na mvuvi katika nchi hii.
Wakulima hawa wana umasikini mkubwa wakati wanatulisha wanatulisha chakula, nyama na maziwa nchi hii.
Hebu tufikirie hali hii tuachane na msemo wa Kiswahili kuwa " Mpaji ni Mungu" . Ukweli ni kuwa umasikini huu wa wakulima, wafugaji na wavuvi hautokana na Mungu.
Huu ni umasikini wa kutengenezwa siyo na Mungu, hivyo basi tunaweza kuurekebisha.
Chanzo: CHADEMA MEDIA TV