So what.Leo ni birthday ya Dr Kigwangalla!
So so!So what.
Ulitaka uone watu wamekaa kwenye paa la hema? CCM bwana!Mbona kama anaongea pekee yake aloo. Ila wagogo siyo watu wazuri haki ya Mungu!
Jomba hukosekani kwenye kila uzi wa Lissu, wewe ni kazi maalum ya polepole?Lisu ana sonona mpaka baada ya uchaguzi sijui atakuwa na Hali gani sio kwa hizi style zake [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Ya Malawi Congo zambia kenya Gambia ghana yanaenda kutokea Tanzania sasaLisu ana sonona mpaka baada ya uchaguzi sijui atakuwa na Hali gani sio kwa hizi style zake [emoji23][emoji1787][emoji2960]
mkuu hizi sio spana ni hatari yahani kusikia clip hii da lissu shikamoo , na wadau walikua wanasema kwamba anazungumza mambo ya kujerhiwa tu , sasa jamani jamaa kafungua kidogo tu leo na naomba tuache ushabiki kabla ya kuchangia clip tafadhali isikilize mpaka mwisho do mwafaaaisee nimemsikia mh lissu huyu bwana kichwa chake sio chi hii da da da aisee hii hatari sana , huyu mkuu kama huna hoja za mkujibu bora ukakaa kimia kazi ipo
MKUU WA MKOA WA MBEYA MHE. ALBERT CHALAMILA,KWA NIABA YA WAKUU WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI,ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA SHEREHE NA MAONESHO YA NANENANE 2020 KIKANDA YATAFANYIKA KATIKA UWANJA WA JOHN MWAKANGALE JIJINI MBEYA KUANZIA TAREHE 01 HADI 08 AGOSTI 2020.
EWE MKULIMA, EWE MFUGAJI, EWE MSINDIKAJI JITOKEZE KUSHIRIKI KWENYE MAONESHO HAYA YENYE KAULI MBIU ISEMAYO “KWA MAENDELEO YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI CHAGUA VIONGOZI BORA 2020”
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWAKUJIFUNZA TEKNOLOJIA MBALIMBALI ZA UZALISHAJI NA USINDIKAJI WA MAZAO YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI. Source : Sherehe za Nanenane 2020