Tundu Lissu atoboa Siri ya aliyeamua yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili: Ulikuwa Msimamo wa Mbowe kuwa ni lazima nipelekwe Nairobi

Nonsense!!
 
Magonjwa mtambuka
 
Toa tako lako hapa linatoa ushuzi mtupu.Hivi ukiwa mfuas wa kichaa lazima nawe uwe kichaa!!!!Ulichoandika ni outcome ya ubatili wa akili!!
Kumuwazia mtu tusi ni dalili kuwa uko guilty-conscious so tusi lako linakuhusu wewe mwenyewe directly.
Weak minded persons do focus on personalities rather than issues on the table coz they don't have anything to offer. Poor you!!
 
Hoja za kiungo mbadala ndiyo matokeo ya kutawaliwa na vichaa
 
Mtoa mada kakosea wapi?Mbona sio wavumilivu kwa hoja zinazowakaanga?Wote tukiongea lugha moja tutakuwa great thinker kweli?Au unataka kila thread humu iwe ni ya kumtukuza lisu?
Sasa je wewe ni great thinker kwa namna ulivyoandika?
Je wataka na wewe humu tuongee lugha moja ya kumsifia jiwe na serikali?
Acha watu wajimwage wapendavyo, wanaomtukuza Lissu acha wafanye hivyo, kwani wewe itakupunguzia kitu gani?
Tuachie Lissu wetu...
 
Nawaona mnavyotoka mishipa lisu akiguswa hahahahaha,sio bure huyu jamaa kawatoa msukule maana hamuambiliki
 
Kumuwazia mtu tusi ni dalili kuwa uko guilty-conscious so tusi lako linakuhusu wewe mwenyewe directly.
Weak minded persons do focus on personalities rather than issues on the table coz they don't have anything to offer. Poor you!!
Stop advertising your foolishness......where is your point?Maliciously,shamelessly, your quotation is naive!!!!Is TUNDU an issue or just an individual person?hocus pocus!!!
 
Hîvi kuandika ujinga ujiņga huwa mnalìpwa shilingi ngapi uko chamani?
 
Msikimbilie Kuwa Makada,nendeni shule kwanza msome, mkishapata elimu ya kutosha na uwezo wa kuelewa mambo ndo muingie kwenye siasa. Bila elimu huwezi kuelewa kuwa Lissu na Magufuli walikuwa wanazungumzia suala moja lenye lengo moja ila walitofautiana tu approach. Na kiukweli approach ya lissu ndo ilikuwa sahihi, Sasa tuambie approach ya Magufuli imetufikisha wapi? Je hatunyolewi sasa bila maji Kama alivyotuonya Lissu? Please elimu ni muhimu
 
Nadhani mkisha fika kaburini ndo mnaelewa Kuwa ccm ndo adui wa nchi name watoto wenu. Ila mkiwa hai,mkiwa bado mnapewa kanga na viatu, Huku mkijivika uzalendo uchwara mtagombana na kila mtu mwenye mawazo na mtazamo tofauti na wenu. Hili La watu wawili watatu kuja ccm Kama ndo unaona ndo usafi WA ccm, Pole
 
Kumuwazia mtu tusi ni dalili kuwa uko guilty-conscious so tusi lako linakuhusu wewe mwenyewe directly.
Weak minded persons do focus on personalities rather than issues on the table coz they don't have anything to offer. Poor you!!
Don't be conservative rather than flexible! Unapoanzisha hoja kubali kuungwa au kutokuungwa mkono na pia lugha za staha na zisizo na staha! Hii ndio dhima ya perception!
Narudi kwenye hoja. Hivi ulilenga kutuambia nini hapa? Naomba nikosee kwa kukuambia kuwa Mbowe alibutua kipande mlichokuwa mmekibakisha baada ya kukosa shabaha ya kummaliza Lissu! Sasa anaendelea kupata nafuu na atapona na kurudi nyumbani ili mzidi kuina aibu! Najua kuna watakaosutwa na nafsi zao kwa kumwandika na kumsema vibaya na mmojawapo ni wewe na kijarida chako! Jiandae kukutana naye mahakamani ukiwa na fuko la pesa au nguo za kubadilisha ukiwa segerea kwani hakuna atakayekusaidia kupata dhamana!
Lissu ni kiona mbali na alishayaona ya makinikia na aliwaonya kjzalendo kwani yeye ni mzalendo kwelikweli ila kwa upofu wenu wa akili na kutaka sifa mnamlaumu badala ya kujilaumu ninyi wenyewe! Hamjachelewa kwani bado mna nafasi ya kuomba msaada wake ambao naamini atawapa bila kinyongo! Msishupaze shingo zitavunjika!
Wakatabahu!
 
“Ninapenda kutambua uwepo wa mwenyekiti wa chama chetu Mh. Freeman Mbowe
, sio tu kwamba amekuwa kaka na kiongozi wangu. Ni mtu muhimu sana aliyepigania uhai wangu. Wakati wenye nia ovu wanang'ang'ana nipelekwe Muhimbili. Mbowe aliweka mguu chini niletwe Nairobi”- T.A Lissu

My Take:
Katika kumbukumbu zetu ni kweli kuna waliotaka TL apelekwe Muhimbili, yeye Lissu anawaita ni waliokuwa na nia ovu. Ni ngumu kuwataja lakini kama kuna anayewafahamu nadhani TL mwenyewe.

Lakini kwa majibu ya Spika jana kuhusu Mkeka wa watu wanaostahiki kulipwa na Bunge, possibly niliona spika anatoa povu na kumuattack Lissu direct.
Nachojiuliza ni kwa nini Spika anamkamia sana TL , it seems tangu mwanzo anaonekana kama hakuridhika na "Survival ya Tundu Lissu"..
Mh. Ndugai anapaswa kujifunza kuwa hakuna ajuaye kesho..!!
 
Nasikia Ndugai aliambiwa akaandae mazishi,kwa hiyoo alikuwa anajua jamaa ana masaa machache ya kuishi,Ndugai alishindwa hata kutuma sms ya kuepusha kifo,dhambi sana kumzika mtu anatemba.Huenda lile geneza moja lilikuwa la Lisu mkabadili matumizi.Mungu ameonyesha uwepo wake tuache kiburi.
 

Lile gaidi limeshaliwa na funza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…