Tundu Lissu atoboa Siri ya aliyeamua yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili: Ulikuwa Msimamo wa Mbowe kuwa ni lazima nipelekwe Nairobi

Kwa kuwa ni wa upinzani basi ndipo ubinadamu unaingia lakini leo umesahau kuwa, ni huyo huyo Lissu aliyekuwa akitutishia kila siku kwa maneno kuwa ACACIA watatunyoa bila ganzi eti tu kwa kuwa Serikali imezuia makinikia. Lissu alijua wazi kuwa tunaibiwa lakini akawa anawatetea ACACIA kuwa hawakuvunja Sheria na badala take alikuwa bite kuinyooshea CCM na hasa TMAA kuwa ndiyo walioruhusu. Lissu kwa nini aliwatetea licha ya ukweli kuwa, mkataba wetu haukuruhusu kusafirisha nje makinikia? Je, inamaana hakutaka Serikali kufanya marekebisho pale ilipokosea? Je, mbona hata alikacha kutoa mchango wake wa mawazo wakati Kabudi anawasilisha Miswada mitatu ya marekebisho ya sheria zinazosimamia rasilimali zetu?
Hamuwezi humu mkataka kuwafundisha watu morality hata kidogo kwa tabia zenu za ego mnazoonyesha. Kuwa CCM siyo guarantee ya kuwa mchafu, mlafi na mbumbumbu na kuwa upinzani siyo guarantee ya kuwa msafi. Wapinzani wangekuwa wasafi wangehama kwenda CCM? Si hiyo inamaanisha huko walikotoka ni wachafu, siyo? Ama tu-assume wote wanaoingia CCM wamehongwa, sasa hapa kosa ni la nani - anayehonga ili kuimarisha upande wake ama anayetoka upande aliokuwa akiutetea?
Yaani mimi itokee nimetongoza mdada nikatumia fedha nyingi kumhonga ili anikubalie, nianze ku-feel guilty eti nimemhonga hela, mlitaka nimhonge tigo?
Sifa ya mwanaume kwenye familia za kiafrika, siyo kumwambia ukweli mwenza wako bali kuyashinda mazingira yote ya hofu dhidi yake ili kumpa furaha hata kama ni ya uongo.
Nonsense!!
 
View attachment 860504
Tundu Lissu akipelekwa Nairobi

Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki kisheria. Lissu amedai kuwa, uamuzi wa kumpeleka Nairobi badala ya Muhimbili haukufanywa na Uongozi wa juu wa CHADEMA peke yao bali ulihusisha Viongozi wengine wa Bunge na Serikali.

Hata hivyo, katika mahojiano na Mwananchi jana, Lissu amedai kuwa, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ndiye aliyelazimisha yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili. "Msimamo wa Mwenyekiti Mbowe kwamba lazima nipelekwe Nairobi ama Afrika Kusini, ndio uliookoa maisha yangu."

Kwa hali hiyo, Lissu anakiri wazi kuwa, uamuzi wa yeye kupelekwa Nairobi haukufuata taratibu na baraka za Serikali bali Viongozi wa Bunge na Serikali waliridhia msimamo wa M/kiti wake Mbowe aliyetaka apelekwe Nairobi ama Afrika Kusini. Hata katika maelezo ya Spika Job Ndugai, Ndege ya kumpeleka Lissu Muhimbili tayari ilikuwa imeshaandaliwa lakini ilikataliwa na CHADEMA na wao kuamua kukodi ndege nyingine kwa gharama zao.

View attachment 860483

Hakuna anayefurahia majanga kwa mwenzake lakini siyo vizuri pia kutumia majanga kutafuta umaarufu tena kwa njia ya kuwadhalilidha Viongozi wengine waonekane kuwa, hawakuwa na nia njema. Nadhani kama kuna mtu muhimu ambaye hajapongezwa inavyotakiwa ni Spika wa Bunge kwani yeye ndiye aliye-organise Kikao cha Kamati ya Uongozi haraka pamoja na kufanya uratibu wa kupata ndege ya kunsafirisha huku wakifuatilia matibabu ya Lissu kwa karibu. Nafikiria kuwa, endapo Ndege aliyoiandaa Spika Ndugai ingempeleka Lissu Muhimbili, tungekuwa tunaongea nini?

View attachment 860501
Spika Ndugai, akiwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakiwasili Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Magonjwa mtambuka
 
Toa tako lako hapa linatoa ushuzi mtupu.Hivi ukiwa mfuas wa kichaa lazima nawe uwe kichaa!!!!Ulichoandika ni outcome ya ubatili wa akili!!
Kumuwazia mtu tusi ni dalili kuwa uko guilty-conscious so tusi lako linakuhusu wewe mwenyewe directly.
Weak minded persons do focus on personalities rather than issues on the table coz they don't have anything to offer. Poor you!!
 
Kwa kuwa ni wa upinzani basi ndipo ubinadamu unaingia lakini leo umesahau kuwa, ni huyo huyo Lissu aliyekuwa akitutishia kila siku kwa maneno kuwa ACACIA watatunyoa bila ganzi eti tu kwa kuwa Serikali imezuia makinikia. Lissu alijua wazi kuwa tunaibiwa lakini akawa anawatetea ACACIA kuwa hawakuvunja Sheria na badala take alikuwa bite kuinyooshea CCM na hasa TMAA kuwa ndiyo walioruhusu. Lissu kwa nini aliwatetea licha ya ukweli kuwa, mkataba wetu haukuruhusu kusafirisha nje makinikia? Je, inamaana hakutaka Serikali kufanya marekebisho pale ilipokosea? Je, mbona hata alikacha kutoa mchango wake wa mawazo wakati Kabudi anawasilisha Miswada mitatu ya marekebisho ya sheria zinazosimamia rasilimali zetu?
Hamuwezi humu mkataka kuwafundisha watu morality hata kidogo kwa tabia zenu za ego mnazoonyesha. Kuwa CCM siyo guarantee ya kuwa mchafu, mlafi na mbumbumbu na kuwa upinzani siyo guarantee ya kuwa msafi. Wapinzani wangekuwa wasafi wangehama kwenda CCM? Si hiyo inamaanisha huko walikotoka ni wachafu, siyo? Ama tu-assume wote wanaoingia CCM wamehongwa, sasa hapa kosa ni la nani - anayehonga ili kuimarisha upande wake ama anayetoka upande aliokuwa akiutetea?
Yaani mimi itokee nimetongoza mdada nikatumia fedha nyingi kumhonga ili anikubalie, nianze ku-feel guilty eti nimemhonga hela, mlitaka nimhonge tigo?
Sifa ya mwanaume kwenye familia za kiafrika, siyo kumwambia ukweli mwenza wako bali kuyashinda mazingira yote ya hofu dhidi yake ili kumpa furaha hata kama ni ya uongo.
Hoja za kiungo mbadala ndiyo matokeo ya kutawaliwa na vichaa
 
Mtoa mada kakosea wapi?Mbona sio wavumilivu kwa hoja zinazowakaanga?Wote tukiongea lugha moja tutakuwa great thinker kweli?Au unataka kila thread humu iwe ni ya kumtukuza lisu?
Sasa je wewe ni great thinker kwa namna ulivyoandika?
Je wataka na wewe humu tuongee lugha moja ya kumsifia jiwe na serikali?
Acha watu wajimwage wapendavyo, wanaomtukuza Lissu acha wafanye hivyo, kwani wewe itakupunguzia kitu gani?
Tuachie Lissu wetu...
 
Nawaona mnavyotoka mishipa lisu akiguswa hahahahaha,sio bure huyu jamaa kawatoa msukule maana hamuambiliki
 
Kumuwazia mtu tusi ni dalili kuwa uko guilty-conscious so tusi lako linakuhusu wewe mwenyewe directly.
Weak minded persons do focus on personalities rather than issues on the table coz they don't have anything to offer. Poor you!!
Stop advertising your foolishness......where is your point?Maliciously,shamelessly, your quotation is naive!!!!Is TUNDU an issue or just an individual person?hocus pocus!!!
 
Hîvi kuandika ujinga ujiņga huwa mnalìpwa shilingi ngapi uko chamani?
 
Kwa kuwa ni wa upinzani basi ndipo ubinadamu unaingia lakini leo umesahau kuwa, ni huyo huyo Lissu aliyekuwa akitutishia kila siku kwa maneno kuwa ACACIA watatunyoa bila ganzi eti tu kwa kuwa Serikali imezuia makinikia. Lissu alijua wazi kuwa tunaibiwa lakini akawa anawatetea ACACIA kuwa hawakuvunja Sheria na badala take alikuwa bite kuinyooshea CCM na hasa TMAA kuwa ndiyo walioruhusu. Lissu kwa nini aliwatetea licha ya ukweli kuwa, mkataba wetu haukuruhusu kusafirisha nje makinikia? Je, inamaana hakutaka Serikali kufanya marekebisho pale ilipokosea? Je, mbona hata alikacha kutoa mchango wake wa mawazo wakati Kabudi anawasilisha Miswada mitatu ya marekebisho ya sheria zinazosimamia rasilimali zetu?
Hamuwezi humu mkataka kuwafundisha watu morality hata kidogo kwa tabia zenu za ego mnazoonyesha. Kuwa CCM siyo guarantee ya kuwa mchafu, mlafi na mbumbumbu na kuwa upinzani siyo guarantee ya kuwa msafi. Wapinzani wangekuwa wasafi wangehama kwenda CCM? Si hiyo inamaanisha huko walikotoka ni wachafu, siyo? Ama tu-assume wote wanaoingia CCM wamehongwa, sasa hapa kosa ni la nani - anayehonga ili kuimarisha upande wake ama anayetoka upande aliokuwa akiutetea?
Yaani mimi itokee nimetongoza mdada nikatumia fedha nyingi kumhonga ili anikubalie, nianze ku-feel guilty eti nimemhonga hela, mlitaka nimhonge tigo?
Sifa ya mwanaume kwenye familia za kiafrika, siyo kumwambia ukweli mwenza wako bali kuyashinda mazingira yote ya hofu dhidi yake ili kumpa furaha hata kama ni ya uongo.
Msikimbilie Kuwa Makada,nendeni shule kwanza msome, mkishapata elimu ya kutosha na uwezo wa kuelewa mambo ndo muingie kwenye siasa. Bila elimu huwezi kuelewa kuwa Lissu na Magufuli walikuwa wanazungumzia suala moja lenye lengo moja ila walitofautiana tu approach. Na kiukweli approach ya lissu ndo ilikuwa sahihi, Sasa tuambie approach ya Magufuli imetufikisha wapi? Je hatunyolewi sasa bila maji Kama alivyotuonya Lissu? Please elimu ni muhimu
 
Kwa kuwa ni wa upinzani basi ndipo ubinadamu unaingia lakini leo umesahau kuwa, ni huyo huyo Lissu aliyekuwa akitutishia kila siku kwa maneno kuwa ACACIA watatunyoa bila ganzi eti tu kwa kuwa Serikali imezuia makinikia. Lissu alijua wazi kuwa tunaibiwa lakini akawa anawatetea ACACIA kuwa hawakuvunja Sheria na badala take alikuwa bite kuinyooshea CCM na hasa TMAA kuwa ndiyo walioruhusu. Lissu kwa nini aliwatetea licha ya ukweli kuwa, mkataba wetu haukuruhusu kusafirisha nje makinikia? Je, inamaana hakutaka Serikali kufanya marekebisho pale ilipokosea? Je, mbona hata alikacha kutoa mchango wake wa mawazo wakati Kabudi anawasilisha Miswada mitatu ya marekebisho ya sheria zinazosimamia rasilimali zetu?
Hamuwezi humu mkataka kuwafundisha watu morality hata kidogo kwa tabia zenu za ego mnazoonyesha. Kuwa CCM siyo guarantee ya kuwa mchafu, mlafi na mbumbumbu na kuwa upinzani siyo guarantee ya kuwa msafi. Wapinzani wangekuwa wasafi wangehama kwenda CCM? Si hiyo inamaanisha huko walikotoka ni wachafu, siyo? Ama tu-assume wote wanaoingia CCM wamehongwa, sasa hapa kosa ni la nani - anayehonga ili kuimarisha upande wake ama anayetoka upande aliokuwa akiutetea?
Yaani mimi itokee nimetongoza mdada nikatumia fedha nyingi kumhonga ili anikubalie, nianze ku-feel guilty eti nimemhonga hela, mlitaka nimhonge tigo?
Sifa ya mwanaume kwenye familia za kiafrika, siyo kumwambia ukweli mwenza wako bali kuyashinda mazingira yote ya hofu dhidi yake ili kumpa furaha hata kama ni ya uongo.
Nadhani mkisha fika kaburini ndo mnaelewa Kuwa ccm ndo adui wa nchi name watoto wenu. Ila mkiwa hai,mkiwa bado mnapewa kanga na viatu, Huku mkijivika uzalendo uchwara mtagombana na kila mtu mwenye mawazo na mtazamo tofauti na wenu. Hili La watu wawili watatu kuja ccm Kama ndo unaona ndo usafi WA ccm, Pole
 
Kumuwazia mtu tusi ni dalili kuwa uko guilty-conscious so tusi lako linakuhusu wewe mwenyewe directly.
Weak minded persons do focus on personalities rather than issues on the table coz they don't have anything to offer. Poor you!!
Don't be conservative rather than flexible! Unapoanzisha hoja kubali kuungwa au kutokuungwa mkono na pia lugha za staha na zisizo na staha! Hii ndio dhima ya perception!
Narudi kwenye hoja. Hivi ulilenga kutuambia nini hapa? Naomba nikosee kwa kukuambia kuwa Mbowe alibutua kipande mlichokuwa mmekibakisha baada ya kukosa shabaha ya kummaliza Lissu! Sasa anaendelea kupata nafuu na atapona na kurudi nyumbani ili mzidi kuina aibu! Najua kuna watakaosutwa na nafsi zao kwa kumwandika na kumsema vibaya na mmojawapo ni wewe na kijarida chako! Jiandae kukutana naye mahakamani ukiwa na fuko la pesa au nguo za kubadilisha ukiwa segerea kwani hakuna atakayekusaidia kupata dhamana!
Lissu ni kiona mbali na alishayaona ya makinikia na aliwaonya kjzalendo kwani yeye ni mzalendo kwelikweli ila kwa upofu wenu wa akili na kutaka sifa mnamlaumu badala ya kujilaumu ninyi wenyewe! Hamjachelewa kwani bado mna nafasi ya kuomba msaada wake ambao naamini atawapa bila kinyongo! Msishupaze shingo zitavunjika!
Wakatabahu!
 
“Ninapenda kutambua uwepo wa mwenyekiti wa chama chetu Mh. Freeman Mbowe
, sio tu kwamba amekuwa kaka na kiongozi wangu. Ni mtu muhimu sana aliyepigania uhai wangu. Wakati wenye nia ovu wanang'ang'ana nipelekwe Muhimbili. Mbowe aliweka mguu chini niletwe Nairobi”- T.A Lissu

My Take:
Katika kumbukumbu zetu ni kweli kuna waliotaka TL apelekwe Muhimbili, yeye Lissu anawaita ni waliokuwa na nia ovu. Ni ngumu kuwataja lakini kama kuna anayewafahamu nadhani TL mwenyewe.

Lakini kwa majibu ya Spika jana kuhusu Mkeka wa watu wanaostahiki kulipwa na Bunge, possibly niliona spika anatoa povu na kumuattack Lissu direct.
Nachojiuliza ni kwa nini Spika anamkamia sana TL , it seems tangu mwanzo anaonekana kama hakuridhika na "Survival ya Tundu Lissu"..
Mh. Ndugai anapaswa kujifunza kuwa hakuna ajuaye kesho..!!
 
View attachment 860504
Tundu Lissu akipelekwa Nairobi

Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kuwa mvutano kuhusu Bunge kukataa kulipia gharama za matibabu yake kwa kukiuka taratibu za matibabu ya Wabunge na kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili ni mgogoro wa kutengenezwa na kwamba, utaratibu huo hautambuliki kisheria. Lissu amedai kuwa, uamuzi wa kumpeleka Nairobi badala ya Muhimbili haukufanywa na Uongozi wa juu wa CHADEMA peke yao bali ulihusisha Viongozi wengine wa Bunge na Serikali.

Hata hivyo, katika mahojiano na Mwananchi jana, Lissu amedai kuwa, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ndiye aliyelazimisha yeye kupelekwa Nairobi badala ya Muhimbili. "Msimamo wa Mwenyekiti Mbowe kwamba lazima nipelekwe Nairobi ama Afrika Kusini, ndio uliookoa maisha yangu."

Kwa hali hiyo, Lissu anakiri wazi kuwa, uamuzi wa yeye kupelekwa Nairobi haukufuata taratibu na baraka za Serikali bali Viongozi wa Bunge na Serikali waliridhia msimamo wa M/kiti wake Mbowe aliyetaka apelekwe Nairobi ama Afrika Kusini. Hata katika maelezo ya Spika Job Ndugai, Ndege ya kumpeleka Lissu Muhimbili tayari ilikuwa imeshaandaliwa lakini ilikataliwa na CHADEMA na wao kuamua kukodi ndege nyingine kwa gharama zao.

View attachment 860483

Hakuna anayefurahia majanga kwa mwenzake lakini siyo vizuri pia kutumia majanga kutafuta umaarufu tena kwa njia ya kuwadhalilidha Viongozi wengine waonekane kuwa, hawakuwa na nia njema. Nadhani kama kuna mtu muhimu ambaye hajapongezwa inavyotakiwa ni Spika wa Bunge kwani yeye ndiye aliye-organise Kikao cha Kamati ya Uongozi haraka pamoja na kufanya uratibu wa kupata ndege ya kunsafirisha huku wakifuatilia matibabu ya Lissu kwa karibu. Nafikiria kuwa, endapo Ndege aliyoiandaa Spika Ndugai ingempeleka Lissu Muhimbili, tungekuwa tunaongea nini?

View attachment 860501
Spika Ndugai, akiwa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakiwasili Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Nasikia Ndugai aliambiwa akaandae mazishi,kwa hiyoo alikuwa anajua jamaa ana masaa machache ya kuishi,Ndugai alishindwa hata kutuma sms ya kuepusha kifo,dhambi sana kumzika mtu anatemba.Huenda lile geneza moja lilikuwa la Lisu mkabadili matumizi.Mungu ameonyesha uwepo wake tuache kiburi.
 
Lile gaidi limeshaliwa na funza
 
Back
Top Bottom