Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

JK anadai yy kazi yake ni ku-balance gender kutoka kwenye list ya majina aloletewa...WHAT A CHEAP ANSWER...

Hii inanikumbusha maswali ya multiple choice...kwamba ni lazima ujaze herufi hata kama hakuna jibu sahihi from the list of proposed answers....

haha ha...
 
Mfano kunajaji hana shahada ya sheria sasauivi ndio anasoma open mkuu nani moja ya vigezo,mwingine ni mgonjwa kateuliwa akiwamgonjwa inamaana Jk hakujua anateua mgonjwa?

Kuna mtu ni mgonjwa anagombea nafasi fulani hv.... supporters wake hawajui?
 
Lisu huyo huyo aliyesema kwa nini ccm wamempa fomu ya urais fisadi Lowassa?
 
Kwa aina hii ya majaji ndiyo maana wenye akili hawashangazwi ha hukumu zitolewazo mfano ya jana kuhusu kulinda kura
 
Reactions: SDG
Hivi unawezaje kuwa mtu mwenye akili timamu na kulalama siku zote maishani kwako...ndio shida watu wa aina hii kuhisi wana akili kuliko wengine.
 
Lissu sasa naanza kumuelewa na watanzania wengine sasa watamuelewa kwamba alichokuwa amesimamia kilikuwa ni kweli na sasa mkuu wetu wa nchi ameanza kutekeleza aliyokuwa anayasema Lissu,Ghraph ya Lissu inapanda kwa kasi sana na sita shangaaa 2020 akapererusha bendera,Ni mtanzania gani asiyemjua Lissu,l
kila alisemalo ni la kweli
 
Tundu Lisu ana shida kwenye akili yake na milele hatafaa.
 
Hivi unawezaje kuwa mtu mwenye akili timamu na kulalama siku zote maishani kwako...ndio shida watu wa aina hii kuhisi wana akili kuliko wengine.
Sielewi unamsema nani lakini kama unamsema Lissu japo wakati mwingine sikubaliani na baadhi ya hoja zake lakini nakiri kabisa kuwa kama nusu ya bunge letu lingekuwa na aina ya kina Lissu na Bashe hii nchi ingesonga mbele sana. Siwezi kusema kuwa Lissu ni 100% mkweli la hasha udhaifu wake ni tu pale anapofumbia macho maluweluwe yanayotokea katika chama chake kama angebaki back bencher nadhani angekua tunu kwa Taifa letu. Kukubali kuwa waziri kivuli inamnyima nafasi ya kulaumu uongozi wa chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…